Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,977
Waziri mkuu msitaafu Fredrick Sumaye amewataja maadui wanaoiua Chadema kwa sasa nchini.
Sumaye amesema ubinafsi wa wanachama wa Chadema wanaofikiri kwa kutumia matumbo yao badala ya ubongo ndiyo adui namba moja wa Chadema kwa sasa hili limegundulika baada ya Bavicha kuanza kutetea mabeberu pia na kuanza kumshabikia Membe awe rais badala ya kutetea wana chadema hasa Mbowe ambaye yupo gerezani kwa sasa .
Hali hii imemsikitisha mno Sumaye na kuwataka Bavicha warudi mara moja kwenye misingi ya Chadema badala ya kukesha wakitetea mabeberu na kusaliti taifa.
.
Sumaye ataja maadui wanaoiua CHADEMA | MPEKUZI