Nchi yetu kwa sasa imepata changamoto ya upungufu wa mvua, hii ni kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), jambo lililopelekea upungufu wa uzalishaji wa umeme hapa nchini, hiyo ni kwa...
Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Zitto na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hoja ya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine...
Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele.
Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani...
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.
Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia...
Najaribu kutafakari namna Viongozi wetu wenye CV nzuri na waliozunguka dunia wanavyoishi wakipewa madaraka. Ni viumbe wanaoongeza kwa kudanganya na kujidanganya. Pamoja na maisha yote waliyoishi...
Uhuru ni dhana pana so ni vema wananchi wakawa wanaeleweshwa kuwa tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru wa nini?
Ni Uhuru wa kujitawala baada ya kumfurusha mkoloni?
Je, ni Uhuru wa kumiliki...
Ndani ya kipindi kifupi tunasikia taarifa ya wizi wizi wizi wa mali za umma kila kona, kila mahala na mbaya zaidi na watu wakubwa kabisa.
Juzi hapa tulisikia mkurugenzi huko Gairo wa halmashauri...
Waziri awaagiza TAKUKURU kutinga Mererani kuchunguza wizi unaofanyika.
Tuliambiwa kuwa kujenga ukuta ndiyo ingekuwa ni muaraobaini wa kuibiwa kwa madini hasa Tanzanite.
=====
Kachunguzeni wizi...
Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu"...
Wanajukwaa, yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri...
Ningekua kiongozi mpumbavu ningeingia mkataba wa ujenzi wa bandari ila kwasharti ya kwamba familia yangu ipewe 10% ya mapato ya bandari kwakipindi chote chauwekezaji.
Ningeruhusu watu wainvest...
Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki.
Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii.
Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini...
Naam!
Kipindi cha awamu ya nne bwawa la mtera lilifungwa kabisa kwani lilikuwa halizalishi ata unit moja ya umeme na haya aliyasema mwenyewe katika hotuba yake clip hipo chini hapo.
Awamu ya ya...
Baada ya mkutano wa Paris wa 2015, nchini Ufaransa, nchi zilizoendelea zilikubaliana kutoa msaada wa fedha na teknolojia ili kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye nchi zinazoendelea...
Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko.
Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo.
Leo Rais Samia...
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu...
Binafsi huwa si mtu wa kuangalia data zihusuzo mambo ya madini hapa Ulimwenguni lkn kwa hiki alichonieleza jamaa yangu mkenya kimenishtua sana!
Anadai kuanzia July Kenya ndiye bingwa wa kuchimba...
Ule mpango mkakati wa kisasa wa kusajili wanachama unaoitwa Chadema digital leo 19/11/2021 umeingia kwa kishindo eneo Maarufu sana Mjini Songea Liitwalo Mfaranyaki, BOMBI HII NYUMBA HII , na...
Wakuu Ila Mfumo wa nchii hii wa kutumia kiingereza kama Lugha ya kufundishia Mashuleni Kwa Maana ya Shule Ya Msingi Na Secondary umepitwa na wakati.
......
Ni sawa na kama uko Arusha unataka...
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi tunaomba Rais azuie mazao ya chakula yanayouzwa kwa kasi nje ya nchi maana naona mbeleni kuna njaa kubwa inanyemelea nchi yetu.
Ikumbukwe kwamba pamoja na...