Ni kweli kwa miezi 4 mfululizo Kenya ndiyo Nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa madini ya Tanzanite huko Duniani?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Binafsi huwa si mtu wa kuangalia data zihusuzo mambo ya madini hapa Ulimwenguni lkn kwa hiki alichonieleza jamaa yangu mkenya kimenishtua sana!

Anadai kuanzia July Kenya ndiye bingwa wa kuchimba Madini mengi ya Tanzanite hapa Ulimwenguni.

Najiuliza huo mgodi wa madini ya Tanzanite wakenya wameutoa wapi?

Na kwanini baada ya kifo cha JPM madini ya Tanzanite yamehama Tanzania na kuelekea Kenya?

Vyombo vya dola hamlioni hilo tatizo?
 
Sema kwa kuchakata Tanzanite, sio kwa kuzalisha hiyo, tena pia wale wanao chakata hiyo Tanzanite ni Wahindi wa Kenya kama kawaida yao ni madalali kwa kila biashara hawana mitaji ni masikini kama sie.
 
Umelishwa matango pori yenye uchachu
 
Sema kwa kuchakata Tanzanite, sio kwa kuzalisha hiyo, tena pia wale wanao chakata hiyo Tanzanite ni Wahindi wa Kenya kama kawaida yao ni madalali kwa kila biashara hawana mitaji ni masikini kama sie.
Mawe yanakatwa hapahapa kuna wataalam wengi tu,kuna wahindi,wathailand,wajaluo,wabongo..na mzigo unafungwa na TRA na wizara ya madini ndio unasafirishwa
 
Binafsi huwa si mtu wa kuangalia data zihusuzo mambo ya madini hapa Ulimwenguni lkn kwa hiki alichonieleza jamaa yangu mkenya kimenishtua sana!

Anadai kuanzia July Kenya ndiye bingwa wa kuchimba Madini mengi ya Tanzanite hapa Ulimwenguni.

Najiuliza huo mgodi wa madini ya Tanzanite wakenya wameutoa wapi?

Na kwanini baada ya kifo cha JPM madini ya Tanzanite yamehama Tanzania na kuelekea Kenya?

Vyombo vya dola hamlioni hilo tatizo?
Currently, India is the largest exporter of Tanzanite stones peaking at more than $300 million, followed by Kenya at $100 million and Tanzania at $38 million. Globally, the tanzanite trade earns more than $500 million a year.7 Apr 2018
 
Labda ile ziara ya kenya ndiyo ilijikita katika kufanikisha hilo.
 
Currently, India is the largest exporter of Tanzanite stones peaking at more than $300 million, followed by Kenya at $100 million and Tanzania at $38 million. Globally, the tanzanite trade earns more than $500 million a year.7 Apr 2018
Haya mawe kama hujui utaona tunaibiwa wakti wanatoka kihalali na kodi zote zinalipwa,master dealer wote wakubwa ni wahindi,wananunua rough n cutting.wanapeleka jaipur india kuchonga upya na kushape mana huku wanashape sio vizuri.
India kanunua kwetu yeye ndio anauza kwenye masoko makubwa,hakuna dealer hata mmoja mzungu kwenye tanzanite
 
Vyombo vya dola hamlioni hilo tatizo?
Kuna aina nyingi za kufungulia

Nilijua ni comment ya Chige, ha ha haaa!
 
Mungu aiweke hii nchi katika mikono ya kiongozi mzalendo,

Bila hivyo tumepigwa kweupe.
tulishapigwa kitambo mbona !!, nchi hii inahitaji uwe na moyo wa kiasi ndo utaiweza.huruma kiasi,ukauzu kiasi!!
 
Binafsi huwa si mtu wa kuangalia data zihusuzo mambo ya madini hapa Ulimwenguni lkn kwa hiki alichonieleza jamaa yangu mkenya kimenishtua sana!

Anadai kuanzia July Kenya ndiye bingwa wa kuchimba Madini mengi ya Tanzanite hapa Ulimwenguni.

Najiuliza huo mgodi wa madini ya Tanzanite wakenya wameutoa wapi?

Na kwanini baada ya kifo cha JPM madini ya Tanzanite yamehama Tanzania na kuelekea Kenya?

Vyombo vya dola hamlioni hilo tatizo?
Hangaya alitembelea Kenya Nani anajua walikubaliana Nini?
 
Binafsi huwa si mtu wa kuangalia data zihusuzo mambo ya madini hapa Ulimwenguni lkn kwa hiki alichonieleza jamaa yangu mkenya kimenishtua sana!

Anadai kuanzia July Kenya ndiye bingwa wa kuchimba Madini mengi ya Tanzanite hapa Ulimwenguni.

Najiuliza huo mgodi wa madini ya Tanzanite wakenya wameutoa wapi?

Na kwanini baada ya kifo cha JPM madini ya Tanzanite yamehama Tanzania na kuelekea Kenya?

Vyombo vya dola hamlioni hilo tatizo?
Kama ni kweli basi tumelaaniwa

Ndo maana ziara yake ya kwanza alienda kenya
 
Siyo kweli...

Wakenyea walishwahi kusema, Rais Magufuli ni Rais wa Kenya...
 
Back
Top Bottom