Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Gazeti la Mwananchi la Machi 16,2021, lilikuwa na habari kwamba Samia Suluhu Hassan, ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais, amesema kwamba tatizo la kukatika kwa umeme litafikia mwisho siku hiyo.
Ukienda kusoma taarifa hiyo, utaona Rais Samia (akiwa Makamu wa Rais0 alisema kwamba amezungumza na Dkt Kalemani, ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Nishati, na yeye ndiye amemhakikishia kwamba siku hiyo ingekuwa mwisho wa kukatika kwa umeme.
Habari hiyo inafunza kwamba:
1. Samia kama Makamu wa Rais, alihitaji taarifa kutoka kwa Waziri, na alifanya hivyo. Hiki ndicho kipindi ambacho Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli alikuwa naumwa kwani siku moja baada ya habari hii alifariki. Katika capacity ya Samia kama Makamu, na kwa mtindo wa utendaji kazi wa Magufuli, ni wazi asingekuwa na kwingine kwa kupata taarifa ile zaidi ya kwa Waziri Kalemani.
2. Kalemani alimadanganya Makamu wa Rais Samia. Kwa nini aseme siku ile ndio mwisho?
Naogopa kusema Kalemani alikuwa muongo, ila naangalia tena mitandaoni nakuta Clip aliahidi Bunge kwamba Bwawa la Rufiji litakamilika Novemba 15. Sijui alitoa wapi taarifa ile. Lakini labda ndio maana aliondolewa Uwaziri.
3. KUMBE UMEME ENZI ZA MAGUFULI ULIKUWA UNAKATIKA VIZURI TU. Hii taarifa ilikuja kwa sababu watu wa Korogwe walihoji kuhusu kukatika katika kwa umeme.
Hivyo ni uongo na dhambi kudai kwamba enzi ya Magufuli umeme ulikuwa haukatiki.
Mwisho, MAMA YUKO KAZINI. Tumeshaelezwa wazi sababu za kukatika katika kwa umeme. Ni kwamba miundombinu inafanyiwa ukaratabati ili iwe imara kwa muda mrefu.
Tusipeane ahadi za kisiasa, tusifunike funike kombe eti umeme ulikuw haukatiki wakati miundombinu inaharibika na madhara tunayapata sasa.
RAIS SAMIA ATAMALIZA KERO HII YA UMEME.