Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Binafsi nimeshuhudia ubaguzi wakati wa Utawala wa Mwalimu Nyerere dhidi yetu Watanzania weusi asilia mara nyingi sana mpaka siku Mzee Mwinyi alipoapishwa na kuondoa Ubaguzi mkubwa tuliokuwa tunafanyiwa watu weusi kwenye ardhi yetu wenyewe wakati utawala wa Mzee Nyerere, kwa mfano binafsi nimewahi kuzuiwa mara nyingi tu kuingia iliyokuwa Kilimanjaro Hoteli, New Afrika na kwingineko sababu tu nilikuwa mtu mweusi na Muzungu, Muhindi, Arabu waliingia na siku wa peke yangu mweusi niliyepigwa biti kuingia, pale mlangoni kulikuwa na Mgambo ambaye alikuwa anazuia na kukagua watu weusi tu na alikuja kuondoka siku Mzee mwinyi alipoapishwa.
Leo hata nikiwa na marapa au peku peku naingia Hoteli yoyote ile na hakuna wa kunizuia!
Mzee Mwinyi kwa kweli kwangu mimi ndiye aliyetukomboa kwa kiasi fulani kutoka kwa makucha ya mabeberu, lkn Mwalimu Nyerere kwa maoni yangu hakutupenda watu weusi, nafikiri alikuwa ni agent wa Muzungu, alileta evil communism TZ yetu na kutufanyia human experiment kwetu wakati yeye mwenye hakuishi kama mkomunisti, ...