Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

13 October 2021 Chato, Geita Tanzania KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Maeneo ambayo ujenzi wa madarasa unafanywa na wakandarasi miradi hii inasuasua sana, sehemu nyingi mpaka sasa wanachimba misingi wakati wale waliotumia force accounts miradi ikiwa ipo kwenye hatua...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewaomba wananchi wa Ngorongoro kumchagua Shangai awe Mbunge wa Jimbo hilo ili aweze kushirikiana na Serikali kuwaletea maendeleo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hizi nchi zetu masikini ikitokea changamoto kidogo ni shida kubwa sana. Tanzania inategemea mapato ya utalii kwa zaidi ya 25%. Utalii mwaka huu ni kama umekufa kabisa kama sio uko chini ya 2%...
8 Reactions
108 Replies
10K Views
Nimefatilia mahojiano ya mgogoro unaoendelea huko Mbweni kwenye bomoa bomoa waliyofanya juzi kwa usimamizi wa Askari, pale kuna ujanja unataka kufanyika nawaambia na kama ni eneo la bonde...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Gazeti la mwananchi limekuja na habari ya kina inayoonyesha upandaji bei wa kutisha wa vifaa vya ujenzi kwa miezi 6 iliyopita. Waziri wa viwanda Prof Kitila Mkumbo amesema hata yeye hajui kwa...
3 Reactions
106 Replies
9K Views
1: Julius Kambalage Nyerere Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza...
67 Reactions
123 Replies
10K Views
JE, ZITTO NI MBADHIRIFU KTK KILE KINACHOITWA UBADHIRIFU WA TRILIONI 1.5? Na Moses Machali 21/04/2018 Ubadhirifu ni nini? Kwa Mujibu wa Kamusi ya Maana ya Matumizi (Bakhressa Salim K, 1992)...
15 Reactions
106 Replies
11K Views
Wakati Mkuu wa Wilaya Nanyumbu, Moses Machali, akidai kunusurika kukatwa panga akihamasisha wajasiriamali kuchukua vitambulisho, Polisi mkoani Mtwara imesema aliwatishia bastola wauza madafu baada...
6 Reactions
75 Replies
12K Views
Huu utaratibu ulikuwa unaleta shauku Kwa wananchi na majibu mengine yalipatikana kupitia utaratibu huu. Kuna wakati wananchi wanakuwa na shauku ya kujua kinachondelea nchini juu ya mambo...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na...
1 Reactions
3 Replies
901 Views
Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
10 Reactions
202 Replies
20K Views
Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19. Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo...
8 Reactions
287 Replies
16K Views
Tanzania ibahatika kuwa na maji mengi Sana Kuna yaliyo chini ya ardhi ambayo wengi huchimba visima Lakini pia chini ya ardhi Kuna maeneo Yana maziwa makubwa yenye maji ambayo hutuama kwenye...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe...
37 Reactions
99 Replies
7K Views
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM. Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais...
9 Reactions
60 Replies
51K Views
Waraka wa elimu namba 2 wa mwaka 2021 unahusu urejeshwaji shuleni kwa wanafunzi wa primary na sekondari walikatisha masomo kwa sababu mbali mbali ukiwamo utoro, na mimba. Lakini katika waraka...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, 1. Kipindi cha Kikwete, Wanasiasa walipelekwa JKT kujifunza Uzalendo na Maadili. Hii napendekeza iendelee kwa Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu wakuu, Wakuu wa Wilaya na Mikoa. 2...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Mambo yanaendelea kwa kasi ya hatari sana , hivi ndivyo ilivyokuwa Kahama Mjini Mjumbe hauawi.
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Toka Magufuli afariki misimamo na mipango yake kadhaa aliyoiasisi na kuisimamia kwa nguvu zote imepanguliwa na ni wazi itaendelea kupanguliwa. Iliyopanguliwa mpaka sasa 1. Ujenzi wa bandari ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…