Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kusikiliza na kusoma hoja za viongozi wanaotetea na kuunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo kuwa ujenzi huo una maslahi na faida kwa watanzania naona ni wakati muafaka viongozi hao...
16 Reactions
68 Replies
5K Views
Wana JF Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanzoni (wakati Magufuli akiwa bado hai) ilikuwa kama tetesi lakini sasa kila kitu kiko wazi kuwa Chato imejipanga kuhakikisha inakuwa mkoa, tena mkoa mkuu na imara kwa gharama za kuimega Kagera...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya...
30 Reactions
70 Replies
5K Views
Awali nilifurahi sana hasa ile march seventeenth na furaha ilikamilika zaidi baada ya Samia kuapishwa na kuwa rais wa Tanzania. Nilimpenda kwa sababu kwanza ni mwanamke hivyo niliamini...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Balozi Ombeni Sefue anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dr Stergomena Tax aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi . Sefue aliwahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mytake: Vijana endeleeni kula Mtori nyama...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia...
50 Reactions
137 Replies
14K Views
Hakika Nchi yangu Ngumu sana CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano. Nchi yangu kweli...
0 Reactions
8 Replies
893 Views
Naomba wachumi mje mtujuze athari za Bajeti ya 2020/21 kwenye sector ya nishati elekezwa kwenye mradi mmoja wa Nyerere Hydro Electric Power huko Rufiji. Kama siyo mchumi soma na upite. Angalia...
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amelikataa ombi la Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani la kutaka kutumia nusu ya fedha wanazokusanya kama faini kuendeshea Baraza la Usalama Barabarani. Rais...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
The third-largest pizza delivery restaurant in the world Papa John's International Inc's plans to open 60 fast food outlets in Kenya and Uganda from next year, it announced Tuesday. The American...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu...
18 Reactions
114 Replies
56K Views
Wahenga waliwahi kusema kuwa "LISEMWALO LIPO, KAMA HALIPO LAJA" Yametimia ya Magufuli baki: Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame Binafsi nawaza sipati jibu nini...
36 Reactions
209 Replies
20K Views
Nawakumbusha tu CHADEMA wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole Sabaya kwamba amekiri kutumwa na Hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya. Ole Sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Tuliunda kamati za uchunguzi zilizosheheni wataalamu waliobobea wa mambo ya madini (profesa Mruma) na mtaalamu wa mambo ya fedha Profesa Osoro. Kamati hizi mbele ya rais, na mbele ya wananchi wa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikukumbushe tu Rais Magufuli mwaka 2017 wakati unapokea taarifa ya Prof. Mruma lalamiko lako kubwa sana na hata watanzania wakakuamini (Isipokuwa mimi) ni kuhusu kuchenjulia makinikia nje ya...
12 Reactions
50 Replies
5K Views
Waziri wa Utumishi mh Mchengerwa amelaumu watendaji katika Majiji makubwa nchini ambao wanalipwa mishahara na serikali lakini wamewekwa mfukoni na Matajiri Hayo yamebainishwa kwenye mahojiano...
2 Reactions
6 Replies
961 Views
Jambo la kupongezwa kuona mawakili wa utetezi wakipambana vilivyo kuona haki za washitakiwa haziporwi. Hata hivyo inashangaza ni kwa motisha gani upande wa mashtaka kupambana kikuku kuona...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu??? Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama...
6 Reactions
64 Replies
6K Views
Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa. Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi...
9 Reactions
96 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…