CHADEMA acheni kupotosha, hakuna sehemu Ole Sabaya amedai alitumwa na Hayati Magufuli kutenda aliyotenda, Rais ni taasisi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
Nawakumbusha tu CHADEMA wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole Sabaya kwamba amekiri kutumwa na Hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole Sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Usiwe mjinga Urais hauna ubia!

Magufuli alikuwa janga la Taifa na jambazi la kutupwa!
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!

Kwenye uchaguzi mkuu ile sehemu ya kumchagua rais wanaweka picha ya taasisi au mtu?
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Mkuu Yohana, unabatiza kwa maji ya mito na vifereji ama kwa moto wa mabua! Ukweli ukiwekwa wazi basi ndiyo utambue ya kuwa ndiyo haswa ni ukweli wenyewe huo. Ukiambiwa mtu anaupiga mwingi ni ukweli ya kwamba hana chochote kile cha maana ambacho anakifanya.
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Ole Sabaya is a free Man
 
🤣 🤣 🤣 Magufuli alishasema hashauriwi-Kwa hiyo wakati wake ikulu ilikuwa ni Magufuli na siyo taasisi
 
Back
Top Bottom