Nani yupo nyuma ya figisu za kubadili mihula ya urais Tanzania?

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,457
12,668
Wahenga waliwahi kusema kuwa "LISEMWALO LIPO, KAMA HALIPO LAJA"
Yametimia ya Magufuli baki: Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame

Binafsi nawaza sipati jibu nini kinatusibu watanzania, issue ya kubadiri katiba imeanza kama mchezo wa kuigiza kwenye mitandao ya kijamii, ila kila muda unavyokwenda naona inazidi kushimiri na kushika/kuota mizizi hasa kwa WAHENGA/CCM, niseme kabisa kwa moyo mweupe na kwa kuwa napenda demokrasia nakili na kushawishika kuwa ni maoni yao na wana haki yao ya msingi kufanya hivyo.

Upande wa pili wa shilingi kinachoniumiza kichwa haya maswali

 What are the motives/strong reasoni kudai kubadili katiba kuongeza muda wa mihula?

 What are the hidden agendas behind this mission/malpractice of democracy?

 Those people behind this mission are they aware of Tanzanians' democratic awareness before they attempt to malpractice our Constitution??

Ofcouse ninayo maswali mengi sana, ila napatwa na wasiwasi kuona wanaotoa hii proposals hawana sababu za msingi zaidi ya ulevi wa nafasi walizoshikiria wakidhani watanzania wengine hatuna lakusema na hatuwezi kufanya chochote kizuri au kibaya tukiamua.

Kuna wakati nawaza na kutafuta sababu ya kuanzishwa zuio la mikutano ya kisiasa, mikusanyiko kama makongamano ya mijadala juu ya siasa na demokrasia na kuzuiwa kwa kukamatwa na kushambuliwa kwa viongozi na watu wanaongoza kuhoji mamlaka za nchi mifano ipo mingi sana:-

 Kupotea kwa Ben Sanane.
 Jaribio la kudhuru uhai/kumuua mh.Tindu Lissu.
 Kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki.
 Kukatazwa kwa mikutano ya kisiasa.

Uwepo wa ukaribu na nchi majirani ambao mifano wenda ndipo tunapojifunza haya mfano, Rwanda na Uganda ambapo rais Kagame na rais Mseven hawa ni maswahiba wakubwa wa mh. Rais John Pombe Magufuri.

Kiufupi ni kwamba tunapoelekea tunaanza kupuuza hekima ya wazee wetu akiwemo baba wa taifa mwl. JK Nyerere, hekima ya kuweka miaka 5 ya utawala ilikuwa ina maana kuu mbili, moja iwapo mtu ataye tawala ataonekana kufaa kwa miaka 5, basi aongezewe mingine mitano kwa maan ya mhula mwingine na siyo automatically bali kwa kupiga kura ili kutoa fursa watu wote watoe maoni yao. Mantiki ya pili ilikuwa kinyume chake atakaye ongoza vibaya kama siyo kumuondoa kwa njia za kisheria basi tumvumilie miaka 5 alafu tumwadabishe kwa njia ya kura.

Hofu inaibuka ni hii wapi hawa watu wamepata ujasiri wa kutaka kucheza na katiba ya nchi kwa kutumia nafasi waliyoshikiria kwa muda tu, pili je, dhamira yao km ni njema ya kutaka kiongozi aliyeko madarakani apate muda zaidi wa kuongoza labda wanahofia uwezo wa watanzania wengine km wanaweza kuongoza nchi swali,na je, wanaweza thibitisha hilo, binafsi nina uwezo na ndoto za kuwa kiongozi ila mipango yangu yote nimempa Mungu, na je huyo kiongozi wao anamkataba na Mungu ataishi milele??

Kumtegemea mtu na kushindwa kujenga taasisi ni moja ya makosa yanayofanywa na nchi nyingi za kiafrica, bila shaka kila mtu anakili juu ya uwezo wa mwl. Nyerere kiuongozi na kiuadilifu mzee wetu, ila binfsi ukiniuliza mwl. Nyerere alishindwa wapi nitakwambia ni HAKUJENGA TAASISI badala yake alipambana kujenga undugu, ujamaa na uzalendo na akavisimamia, akasahau yeye ipo siku atapita fuatilia hotuba zake tangu miaka ya 1990s, na hasa ile ya 1995, utajua aligundua kosa ila ndiyo hivyo wakati ni ukuta hakuwa tena na mamlaka.

Angalizo; Viongozi wote huwa wanabadirika ata IDD Amini,Hitler, Mussolini na wengine wengi waliomba kwa upendo na unyenyekevu mkubwa kuwaongoza wananchi wao ila badae wakabirika bora kungoja kwa muda mfupi zaidi kiongozi mbovu kuliko kusubiri muda mrefu kiongozi mbovu amalize muda wake mrefu zaidi.

Watu wengi hasa viongozi, mnawadharau watanzania kwa upole wao, ila mkumbuke pia hawajawahi kukasirika mkaona hasira na nguvu yao km/umma. Mnacheza na moto mkiwa karibu na petrol kuchezea katiba haliwezi kuwa jambo la kutuacha salama.

Mwisho, nikili wazi kuwa kukosekana kwa Mh. Tundu Lissu muda huu ambao chokocho na miswada takataka/rubbish km yeye anavyoitaka mawazo mabovu kunaniweka njia pande ni jinsi gani ya kulinda misingi ya taifa langu.

Nitoe pole, na sala fupi ya kukuombea Mh. Lissu binafsi ni CCM ila nauona mchango na umhimu wa mh. T A Lissu kwa taifa langu la Tanzania.

SALA:
Ee, Mungu Baba wa mbinguni uliyemponyaji nakuomba uwaongoze vyema madaktari wanaomtibu Mh.TAL kwa huruma yako usikilize kilio cha damu yake iliyomwagwa bila sababu iwe sadaka machoni pako, na ujilipize kisasi juu ya watesi wake, Amina.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.
(Tanzania kwanza Africa badae)
 
Mwenye nguvu ya kubadili Muhula wa Uraisi ni wananchi wa Tanzania pekee.
"Tukizungumzia mantiki ya Kikatiba, mabadiliko makubwa kama hayo anayeweza kuyafanya na kuyabariki siyo Bunge (National Assembly) bali Bunge Maalumu la Katiba (Constituent Assembly)": Haya anayasema Professor Issa G Shivji

CCM watakuwa ni wapuuzi sana kama hawaoni umuhimu kupeleka bungeni miswada ya kurekebisha vitu vya muhimu kwenye katiba kama Muundo wa Muungano, Tume Huru ya Uchaguzi, Mgombea Binafsi, Rasilimali Zetu, Haki za Binadamu, Madaraka ya Raisi na Mgawanyiko wa Madaraka lakini wanaona kuna umuhimu zaidi wa kumuongezea Raisi Magufuli muda wa kukaa Madarakani : Huu ni Ubinafsi wa hali ya juu sana.
 
Mwenye nguvu ya kubadili Muhula wa Uraisi ni wananchi wa Tanzania pekee.
Tukizungumzia mantiki ya Kikatiba, mabadiliko makubwa kama hayo anayeweza kuyafanya na kuyabariki siyo Bunge (National Assembly) bali Bunge Maalumu la Katiba (Constituent Assembly).
Usiongee kilemani ndugu, serikali haijawahi kutaka jambo ikashindwa kirahisi km unavyofikiria NDUGAI, TULIA wabunge wengi ni CCM, sijawahi ona mbunge wa. CCM anakuwa na mawazo huru, pili uelewa wa watanzania hasa vijijini upo chini, njoo wizi wa kula na kuanda michakato fake, usicheze wewe na CCM.!
 
Atuache tuangalie kwanza miaka mitano atakuwa ameifanyia nini nchi, haraka ya nini?
Huo muswada ujadiliwe baada ya uchaguzi wa 2020.
Inakera kwamba tukipata rais kichwa maji basi tutakuwa nae kwa miaka 7.
Ikiwezekana mihula ya urais iwe miaka 4 badala ya 5 ya sasa.
Tumechoka kasi bila mwelekeo.
 
Magufuli kashajua kufika 2020 hakuna chochote atakuwa kafanya hence hata probability ya kurud Magogoni itakuwa ndogk sana. So ili asirudi chato mapema, anatafuta pa kujiongezea miaka.

Hii miswada waiweke pembeni mpaka pake watakapokuwa tyari kubadili katiba.
 
Ndiyo mkom"a"e sasa. Si mlituona sie wavaa vipedo tumewaharibia nchi? Ustaarabu ni zao linalopandwa tangu utotoni. Mwalimu Nyerere alitoka mrima lakini mapenzi na malezi aliyopewa na "wavaa vipedo" ndiyo yaliyomfanya kufikiri tofauti na wanavyofikiri watu wa mrima. Mzee wa Lupaso kadhalika alinusa malezi hayo ya wanywa kahawa.

Hivi vigenge vya kahawa mnavyoviona vinaharibu nchi, kimsingi ndiko zao la ustaarabu uliokuwepo nchi hii karne kwa karne linakopaliliwa. Haya, kuleni matunda yenu yaliyowafikisha kwenye nchi ya ahadi. Baba yesu atakapokuja tena, bila shaka akili itakuwa imewarudia japo itakuwa "TOO LATE".
 
Wahenga waliwahi kusema kuwa "LISEMWALO LIPO, KAMA HALIPO LAJA"
Yametimia ya Magufuli baki: Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame

Binafsi nawaza sipati jibu nini kinatusibu watanzania, issue ya kubadiri katiba imeanza kama mchezo wa kuigiza kwenye mitandao ya kijamii, ila kila muda unavyokwenda naona inazidi kushimiri na kushika/kuota mizizi hasa kwa WAHENGA/CCM, niseme kabisa kwa moyo mweupe na kwa kuwa napenda demokrasia nakili na kushawishika kuwa ni maoni yao na wana haki yao ya msingi kufanya hivyo.

Upande wa pili wa shilingi kinachoniumiza kichwa haya maswali

 What are the motives/strong reasoni kudai kubadili katiba kuongeza muda wa mihula?

 What are the hidden agendas behind this mission/malpractice of democracy?

 Those people behind this mission are they aware of Tanzanians' democratic awareness before they attempt to malpractice our Constitution??

Ofcouse ninayo maswali mengi sana, ila napatwa na wasiwasi kuona wanaotoa hii proposals hawana sababu za msingi zaidi ya ulevi wa nafasi walizoshikiria wakidhani watanzania wengine hatuna lakusema na hatuwezi kufanya chochote kizuri au kibaya tukiamua.

Kuna wakati nawaza na kutafuta sababu ya kuanzishwa zuio la mikutano ya kisiasa, mikusanyiko kama makongamano ya mijadala juu ya siasa na demokrasia na kuzuiwa kwa kukamatwa na kushambuliwa kwa viongozi na watu wanaongoza kuhoji mamlaka za nchi mifano ipo mingi sana:-

 Kupotea kwa Ben Sanane.
 Jaribio la kudhuru uhai/kumuua mh.Tindu Lissu.
 Kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki.
 Kukatazwa kwa mikutano ya kisiasa.
 Uwepo wa ukaribu na nchi majirani ambao mifano wenda ndipo tunapojifunza haya mfano, Rwanda na Uganda ambapo rais Kagame na rais Mseven hawa ni maswahiba wakubwa wa mh. Rais John Pombe Magufuri.

Kiufupi ni kwamba tunapoelekea tunaanza kupuuza hekima ya wazee wetu akiwemo baba wa taifa mwl. JK Nyerere, hekima ya kuweka miaka 5 ya utawala ilikuwa ina maana kuu mbili, moja iwapo mtu ataye tawala ataonekana kufaa kwa miaka 5, basi aongezewe mingine mitano kwa maan ya mhula mwingine na siyo automatically bali kwa kupiga kura ili kutoa fursa watu wote watoe maoni yao. Mantiki ya pili ilikuwa kinyume chake atakaye ongoza vibaya kama siyo kumuondoa kwa njia za kisheria basi tumvumilie miaka 5 alafu tumwadabishe kwa njia ya kura.

Hofu inaibuka ni hii wapi hawa watu wamepata ujasiri wa kutaka kucheza na katiba ya nchi kwa kutumia nafasi waliyoshikiria kwa muda tu, pili je, dhamira yao km ni njema ya kutaka kiongozi aliyeko madarakani apate muda zaidi wa kuongoza labda wanahofia uwezo wa watanzania wengine km wanaweza kuongoza nchi swali,na je, wanaweza thibitisha hilo, binafsi nina uwezo na ndoto za kuwa kiongozi ila mipango yangu yote nimempa Mungu, na je huyo kiongozi wao anamkataba na Mungu ataishi milele??

Kumtegemea mtu na kushindwa kujenga taasisi ni moja ya makosa yanayofanywa na nchi nyingi za kiafrica, bila shaka kila mtu anakili juu ya uwezo wa mwl. Nyerere kiuongozi na kiuadilifu mzee wetu, ila binfsi ukiniuliza mwl. Nyerere alishindwa wapi nitakwambia ni HAKUJENGA TAASISI badala yake alipambana kujenga undugu, ujamaa na uzalendo na akavisimamia, akasahau yeye ipo siku atapita fuatilia hotuba zake tangu miaka ya 1990s, na hasa ile ya 1995, utajua aligundua kosa ila ndiyo hivyo wakati ni ukuta hakuwa tena na mamlaka.

Angalizo; Viongozi wote huwa wanabadirika ata IDD Amini,Hitler, Mussolini na wengine wengi waliomba kwa upendo na unyenyekevu mkubwa kuwaongoza wananchi wao ila badae wakabirika bora kungoja kwa muda mfupi zaidi kiongozi mbovu kuliko kusubiri muda mrefu kiongozi mbovu amalize muda wake mrefu zaidi.

Watu wengi hasa viongozi, mnawadharau watanzania kwa upole wao, ila mkumbuke pia hawajawahi kukasirika mkaona hasira na nguvu yao km/umma. Mnacheza na moto mkiwa karibu na petrol kuchezea katiba haliwezi kuwa jambo la kutuacha salama.

Mwisho, nikili wazi kuwa kukosekana kwa Mh. Tundu Lissu muda huu ambao chokocho na miswada takataka/rubbish km yeye anavyoitaka mawazo mabovu kunaniweka njia pande ni jinsi gani ya kulinda misingi ya taifa langu.

Nitoe pole, na sala fupi ya kukuombea Mh. Lissu binafsi ni CCM ila nauona mchango na umhimu wa mh. T A Lissu kwa taifa langu la Tanzania.

SALA:
Ee, Mungu Baba wa mbinguni uliyemponyaji nakuomba uwaongoze vyema madaktari wanaomtibu Mh.TAL kwa huruma yako usikilize kilio cha damu yake iliyomwagwa bila sababu iwe sadaka machoni pako, na ujilipize kisasi juu ya watesi wake, Amina.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.
(Tanzania kwanza Africa badae)
Yawezekana Nkamia katumwa na Lipumba maana wanaunganishwa na umujahidina wao!
 
Kagame
 
Back
Top Bottom