Harufu ya Ufisadi mradi wa umeme wa Kinyerezi II uliogharimu mabilioni ya Kitanzania

kamati ya ufundi

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
416
439
Volkswagen_Audi_gas_to_power_plant_Wertle_Volkswagen.jpg

HARUFU YA UFISADI MRADI WA UMEME WA KINYEREZI II ULIOGHARIMU MABILIONI YA KITANZANIA.

Harufu ya kuwapo kwa jipu la ufisadi katika mradi mkubwa wa umeme wa Kinyerezi II imebainika,huku Serikali ikitoa dhamana kwa kampuni inayoujenga.

Mradi huo uliozinduliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne,Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete,umegharimu zaidi ya shilingi Trilioni 1.6.

Kutokana na namna ilivyoendeshwa tenda hadi kupatikana kampuni ya Sumitomo ya nchini Japan,baadhi ya wanasiasa walipiga kelele kuhusu gharama kubwa kuliko mahitaji halisi ya mradi huo.

Fedha za ujenzi wa mradi wa Kinyerezi II zinatokana na ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Japan wakati ujenzi wa Kinyerezi III na IV zitatokana na ubia kati ya Serikali na kampuni ya Kichina.

Taarifa za ndani kutoka ndani ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) zinaeleza kwamba asilimia 12 ya fedha hizo zinatoka serikalini,huku nyingine zikiwa ni mkopo kutoka katika benki moja ya nchini Japan.

Mradi huo unatarajia kuzalisha umeme megawati 239.5 ambapo mitambo yake itatumia gesi asilia kutoka Mtwara.

Taarifa zinaeleza kuwa mradi huo unahusisha ujenzi wa mitambo ya kusafisha gesi asilia katika mikoa ya Mtwara na Lindi na pia ujenzi wa bomba kuu la kusafirisha gesi asilia la inchi 36 kutoka Mtwara.

GHARAMA YA MRADI.

Kwa mujibu wa mkataba ulioingiwa kati ya Tanesco na kampuni ya Sumitomo iliiyopewa tenda hiyo kwa njia ya kawaida bila kutangazwa,gharama za mradi ni kubwa na bei y uuzaji wa umeme ukishazalishwa ni ya juu kulinganisha na kampuni nyingine.Kampuni ya Tallawara Power Station ya nchini Australia ilionyesha nia ya kujenga mradi huo kwa gharama ya dola milioni 350 na kuiuzia Tanesco umeme kwa dola 875 kila kilowati moja wakati Sumitomo ikiuza kwa dola 1,488.

Serikali ya Tanzania ilisaini mkataba huo wa ujenzi wa mradi huo mwishoni mwa mwaka jana na hata kutoa dhamana kwa kampuni hiyo ambayo tayari imeshapata fedha za mkopo,huku mradi ukiwa bado unasuasua kuanza kujengwa.

MASWALI TATA.

Pamoja na Serikali kuonyesha nia njema ya ujenzi wa mtambo wa Kinyerezi II, lakini bado kumekuwa na maswali ambayo yanakosa majibu ikiwamo kwanini mradi huo umetolewa kwa kampuni hiyo kwa mfumo wa kawaida bila kufuata sheria za manunuzi.

Mkopo uliokopwa na Sumitomo kwa dhamana ya Serikali huku wao wakiwa hawana kitu, nani ataulipa pamoja na riba yake kwa kila mwezi? Kampuni ya Sumitomo itaendesha mradi huo kwa ubia ambapo yenyewe itakuwa na hisa asilimia 60 na Serikali asilimia 40 je,kwanini hakuna uwazi katika hili? Ingawa hivi sasa Serikali ipo katika vita dhidi ya ufisadi je,viongozi wake wanajua kuwa kuna hatari ya kupoteza zaidi ya shilingi bilioni 360 katika mradi huu huku mwekezaji aliyepewa dhamana akinufaika yeye?.
 
Nchi hii bila ufisadi watu hawawezi kuishi...nchi inanuka rushwa kila mahali.
 
Attachments

  • IMG-20160115-WA0001.jpg
    IMG-20160115-WA0001.jpg
    207.7 KB · Views: 45
mradi huo umetolewa kwa kampuni hiyo kwa mfumo wa kawaida bila kufuata sheria za manunuzi.

Kampuni ya Sumitomo itaendesha mradi huo kwa ubia ambapo yenyewe itakuwa na hisa asilimia 60 na Serikali asilimia 40 je,kwanini hakuna uwazi katika hili?

MAPYA YAIBUKA MRADI WA UMEME KINYEREZI II

Na Mwandishi Wetu

SIRI kubwa imefichuka juu ya mradi kubwa wa umeme wa Kinyerezi 11, ambao unatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kuwa mradi huo unatariwa kuligharimu taifa zaidi ya sh. trioni 1 mpaka kukamilika kwake fedha ambazo zinatokana na mkopo wa kibiashara kati ya Serikali ya Tanzania na Japan.

Mradi huo, ambao taarifa zake zimekuwa zikifanywa kwa usiri mkubwa kiasi cha kupelekea wanasiasa na wadau wengine wa maendeleo kuanza kupaza sauti na ‘kupiga kelele’ kuhofia upotevu wa fedha nyingi kwenye mradi huo kama ilivyozoeleka kwenye miradi mingine mingi ya umeme iliyowahi kuripotiwa hapa nchini ikiwemo Richmond, IPTL na Symbion,

Taarifa za uhakika zinasema kwamba tayari serikali imewekeana mkataba na kampuni ya Sumitomo Corporation ya kutoka Japan na kwamba taarifa zinasema mkataba huo utaipelekea Tanzania kulipa fedha nyingi katika mradi huo kulinganisha na miradi mingine inayoshabihiana na huo wa KinyereziII.

Mradi huo unapangwa kugharamiwa kwa uwiano wa asilimia 85 kwa 15 zinazotakiwa kuchangiwa na serikali ya Tanzania ili mradi uanze ambapo taarifa zinasema tayari serikali ya Tanzania imeshatoa sehemu yake..

Mradi wa KinyereziII , ambao unatarajia kuzalisha megawati 240, ambapo mitambo hiyo itakuwa inatumia gesi asilia kutoka Mtwara, ambapo awali watu mbalimbali walikuwa wanapinga ujenzi huo kwa kuwa unaigharimu serikali na nchi kwa ujumla kulinganisha na miradi mingine.

Taarifa ya serikali iliyotolewa na Mkuu wa Mawasiliamo wa wizara ya Nishati na Madini Badra Masoud inasema kuwa tetesi hizo hazina ukweli wowote na kwamba mkataba huo ni halali na umesainiwa kwa kufuata kanuni na taratibu zote za kibiashara tena zenye kulisaidia taifa.

‘’Serikali ya Tanzania iliingia makubaliano na Japan ya Mkopo wa masharti nafuu wa dola za marekani milioni 292 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kuzalisha umeme wa Megawat 240 utakaojengwa na kampuni ya SUMITOMO ya Japan kama Mkandarasi na sio kama Mbia’’. Ilisema taarifa ya Badra

Badra alisema ‘’Mradi huu unamilikiwa na serikali kwa asilimia 100 kupitia Tanesco na hakuna mwekezaji mwengine katika mradi huu’’.

Taarifa hii ya Serikali imekuja baada ya kuibuka kwa taarifa za mkanganyiko wa gharama za mradi huo ambapo zipo taarifa zinasema mradi utagharimu dola za marekani milioni 459 sawa na Shilingi Trilioni moja ya kitanzania ikijumuisha gharama za ujenzi, uendeshaji na gharama za dharula.
 
Tanzania chini ya CCM imejaa vituko

Mhariri aangalie tu asije sweka KEKO na gazeti kufungiwa MAISHA:confused:
 
Volkswagen_Audi_gas_to_power_plant_Wertle_Volkswagen.jpg

HARUFU YA UFISADI MRADI WA UMEME WA KINYEREZI II ULIOGHARIMU MABILIONI YA KITANZANIA.

Harufu ya kuwapo kwa jipu la ufisadi katika mradi mkubwa wa umeme wa Kinyerezi II imebainika,huku Serikali ikitoa dhamana kwa kampuni inayoujenga.

Mradi huo uliozinduliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne,Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete,umegharimu zaidi ya shilingi Trilioni 1.6.

Kutokana na namna ilivyoendeshwa tenda hadi kupatikana kampuni ya Sumitomo ya nchini Japan,baadhi ya wanasiasa walipiga kelele kuhusu gharama kubwa kuliko mahitaji halisi ya mradi huo.

Fedha za ujenzi wa mradi wa Kinyerezi II zinatokana na ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Japan wakati ujenzi wa Kinyerezi III na IV zitatokana na ubia kati ya Serikali na kampuni ya Kichina.

Taarifa za ndani kutoka ndani ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) zinaeleza kwamba asilimia 12 ya fedha hizo zinatoka serikalini,huku nyingine zikiwa ni mkopo kutoka katika benki moja ya nchini Japan.

Mradi huo unatarajia kuzalisha umeme megawati 239.5 ambapo mitambo yake itatumia gesi asilia kutoka Mtwara.

Taarifa zinaeleza kuwa mradi huo unahusisha ujenzi wa mitambo ya kusafisha gesi asilia katika mikoa ya Mtwara na Lindi na pia ujenzi wa bomba kuu la kusafirisha gesi asilia la inchi 36 kutoka Mtwara.

GHARAMA YA MRADI.

Kwa mujibu wa mkataba ulioingiwa kati ya Tanesco na kampuni ya Sumitomo iliiyopewa tenda hiyo kwa njia ya kawaida bila kutangazwa,gharama za mradi ni kubwa na bei y uuzaji wa umeme ukishazalishwa ni ya juu kulinganisha na kampuni nyingine.Kampuni ya Tallawara Power Station ya nchini Australia ilionyesha nia ya kujenga mradi huo kwa gharama ya dola milioni 350 na kuiuzia Tanesco umeme kwa dola 875 kila kilowati moja wakati Sumitomo ikiuza kwa dola 1,488.

Serikali ya Tanzania ilisaini mkataba huo wa ujenzi wa mradi huo mwishoni mwa mwaka jana na hata kutoa dhamana kwa kampuni hiyo ambayo tayari imeshapata fedha za mkopo,huku mradi ukiwa bado unasuasua kuanza kujengwa.

MASWALI TATA.

Pamoja na Serikali kuonyesha nia njema ya ujenzi wa mtambo wa Kinyerezi II, lakini bado kumekuwa na maswali ambayo yanakosa majibu ikiwamo kwanini mradi huo umetolewa kwa kampuni hiyo kwa mfumo wa kawaida bila kufuata sheria za manunuzi.

Mkopo uliokopwa na Sumitomo kwa dhamana ya Serikali huku wao wakiwa hawana kitu, nani ataulipa pamoja na riba yake kwa kila mwezi? Kampuni ya Sumitomo itaendesha mradi huo kwa ubia ambapo yenyewe itakuwa na hisa asilimia 60 na Serikali asilimia 40 je,kwanini hakuna uwazi katika hili? Ingawa hivi sasa Serikali ipo katika vita dhidi ya ufisadi je,viongozi wake wanajua kuwa kuna hatari ya kupoteza zaidi ya shilingi bilioni 360 katika mradi huu huku mwekezaji aliyepewa dhamana akinufaika yeye?.

Acha uongo na uzushi KINYEREZI 11haujazinduliwa bado hata ujenzi haujanza. Jamani kabla ya kuandika fanyeni uchunguzi na kupata uhakika kuliko kukurupuka tu ni kwamba Mchakato wa ujenzi wa Mradi huo wa Kinyerezi II haukukiuka taratibu zozote za manunuzi
 
Baadhi Habari

hususan gazeti la Mtanzania

toleo namba 8063 la tarehe

14 Januari 2016 katika

Kichwa chake cha Habari

kilichosomeka “ HARUFU YA JIPU

MRADI WA UMEME” lilieleza kuwa

mradi uliozinduliwa na Rais Mstaafu

wa Awamu ya Nne, Mh. Jakaya Mrisho

Kikwete uligharimu Shilingi Trilioni 1.6

na kwamba fedha za ujenzi wa mradi

huo zimetokana na ubia kati ya Serikali

ya Tanzania na Japan ambapo Serikali

ya Tanzania itakuwa na hisa ya asilimia

40 na Kampuni ya SUMITOMO ya

Japan asilimia 60. Pia taarifa hizo zilidai

kuwa Serikali inachangia fedha za ndani

kwa asilimia 12 na zilizobaki zikiwa ni

mkopo kutoka Benki ya Japan.

Mwandishi wa gazeti la Mtanzania

aliendelea kudai kuwa gharama za

mradi huu ziko juu ikilinganishwa na

miradi mingine akitolea mfano wa

Kampuni ya TALLAWARA Power

Station ya nchini Australia anayodai

ilitaka kujenga mradi huo kwa Dola za

Marekani milioni 350.

UFAFANUZI

Kwanza tunakanusha vikali taarifa

hizi zilizotolewa na kwamba hazina

ukweli wowote na zimelenga kupotosha

ukweli na kuichafua Serikali.

Ukweli wa mradi huo ni kama

ifuatavyo:

Serikali ya Tanzania iliingia

makubaliano na Serikali ya Japan ya

Mkopo wa Masharti nafuu wa Dola

za Marekani Milioni 292 kwa ajili ya

Kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme

wa Megawati 240 utakaojengwa na

Kampuni ya SUMITOMO ya Japan

kama mkandarasi “EPC contractor” na

sio kama mbia na Serikali ya Tanzania

kama ilivyodaiwa.

Mradi huo unamilikiwa na Serikali

kwa asilimia 100 kupitia TANESCO

na hakuna mwekezaji mwingine katika

mradi huo. Hivyo, si kweli kwamba

Serikali ya Tanzania na Kampuni ya

SUMITOMO zinawekeza kwa ubia wa

asilimia 40 (Serikali): 60 (SUMITOMO).

Kwa maana hiyo hatutauziwa umeme

utakaozalishwa na mradi huu kwani ni

mali yetu na hakuna gharama yoyote

ya ziada kama alivyodai mwandishi wa

habari hiyo.

Mwandishi wa habari hii

ameudanganya umma kwamba mradi

uliozinduliwa na Rais wa Awamu ya Nne

Mh. Jakaya Mrisho Kikwete. Ukweli ni

kwamba mradi huu haujazinduliwa

bado na sasa ndio maandalizi ya kuweka

jiwe la Msingi yanaendelea.

Kuhusu gharama za Mradi,

mwandishi wa habari hiyo amedai

kwamba mradi huu ni wa bei ghali

na unatekelezwa kwa Shilingi Trilioni

1.6. Huu ni uongo kwani mradi huu

unatekelezwa kwa gharama ya Dola za

Marekani Milioni 344 sawa na Shilingi

za Tanzania Bilioni 740 zikiwa ni mkopo

wa masharti nafuu wa asilimia 85 sawa

na Dola za Marekani milioni 292 na

Mchango wa Serikali ya Tanzania wa

asilimia 15 sawa na Dola za Marekani

Milioni 52. (na sio asilimia 12 kama

ilivyodaiwa na mwandishi)

Mwandishi wa habari hii amejaribu

kufananisha uwekezaji huu na uwekezaji

wa TALLAWARA Power Station ya

Australia na kudai kwamba gharama

yake ingekuwa ndogo kuliko gharama

ya mradi huu. Taarifa hiyo haina ukweli

wowote kwa sababu gharama ya Dola

Milioni 344 zinazotarajiwa kutumika

katika mradi huu iko chini kuliko Dola

Milioni 350 anazodai Mwandishi

kwamba zingetumiwa na Kampuni

ya TALLAWARA. Aidha, Kampuni

ya TALLAWARA haijawahi kuomba

au kuonesha nia ya kuwekeza katika

mradi wowote wa kufua umeme nchini.

Pia ni muhimu ifahamike kwamba

makubaliano ya Mkopo huu yalikuwa

yanakwenda sambamba na utekelezaji

wa mradi wenyewe (EPC with

Financing).

Pamoja na ukweli kwamba gharama

za uwekezaji wa Mradi huu wa kwanza

wa aina ya “Combined Cycle” nchini

zinawiana na gharama za miradi

mingine ya aina hiyo duniani, gharama

za uwekezaji zinaweza kutofautiana

kutegemeana na mazingira ya nchi

na nchi, teknolojia iliyotumika na

aina ya Mitambo. Hivyo sio suala la

kulinganisha tu gharama ya mradi

mmoja na mwingine.

Nawashauri Waandishi wenzangu

kufuata miiko na maadili ya uandishi

wa Habari kwa kuandika habari zenye

ukweli na sahihi na ambazo ‘balanced’

badala ya kuandika habari za mitaani.

Napenda kuwakumbusha kwamba

Wizara ya Nishati na Madini ipo wazi

na tayari kujibu maswali ya Wandishi wa

habari wakati wowote.
 
Mtu mmoja anaitwa Badra Masoud alikanusha vibaya sana taarifa hii, kwanini mikataba mnaifanyaga sirisiri?
 
WanaJF, hebu naomba tulinganishe gharama hizi za ujenzi wa bomba la gesi
International Average Cost
*12- inch pipeline costs about $ 300,000 per 1 mile
*42- inch pipeline costs about $ 1.5 Million per 1 mile.

Tanzania average cost
*36- inch pipeline costs about $ 2.3 million per 1 km. Na bado inaonekana kuna sehemu litawekwa bomba lenye inch 24.

Serikali inasema, Mpango huu wa bomba la gesi unahusisha ujenzi wa bomba la inchi 36 kwa umbali wa kilomita 487 na bomba la inchi 24 kwa umbali wa kilomita 24, likiunganisha bara hadi kwenye chanzo cha gesi iliyoko Somanga Fungu, kisiwa kidogo katika Bahari Hindi. Bomba hilo lenye urefu wa km 512 (wengine wanasema km 532) litajengwa kwa Gharama ya $ 1.2 bn, ambayo ukifanya mahesabu utapata gharama kwa km 1

Japokuwa Pipeline Economics zinaonyesha kuwa Gharama hizo za kimataifa zinaweza kuongezeka, kulingana na ukubwa wa bomba husika, bado hali halisi inaonyesha kuwa hili linalojengwa Tanzania litakuwa la inch 36 na na lingine nchi 24. Sasa ni kwa nini gharama hizo ziwe kuwa inflated kwa kiwango kikubwa namna hii? Je ni nani anafaidika? Tafakari

Updates
Mradi kama huu wa kwetu unafanyika Pakistan, ( Iran Pakistan Gas Pipeline Project) lakini cha kushangaza ni kwamba kwa upande wa Pakistani bomba lenye urefu wa 785km litajengwa kwa gharama ileile ya $ 1.2 bn, lakin bomba lao litakuwa la 42 inch (now do the math)
 
Back
Top Bottom