johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,879
Waziri wa maji Juma Awesu amesema mgao wa maji utapungua sana kama siyo kumalizika kabisa baada ya mitambo ya maji ya Makongo juu kuwashwa na maji kuingia kwa wateja.
Pia, mabwawa ya kufugia samaki zaidi ya 26 yaliyochepusha maji ya mto Ruvu yamekamatwa na hivyo maji yamerudishwa kwenye mkondo wake ili yaelekezwe kwa wananchi.
Chanzo: ITV habari!
Pia, mabwawa ya kufugia samaki zaidi ya 26 yaliyochepusha maji ya mto Ruvu yamekamatwa na hivyo maji yamerudishwa kwenye mkondo wake ili yaelekezwe kwa wananchi.
Chanzo: ITV habari!