Askofu Mwamakula: Kuna nini huko Hai? Mbona sauti za wana wa Hai zenye huzuni zinapiga kelele? Je, watawala wako ee Hai wanafurahia hali hiyo?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
EWE HAI! SIKIA SAUTI YA ASKOFU!

Kuna nini huko Hai ya Kilimanjaro? Mbona sauti za wana wa Hai zenye huzuni zinapiga kelele? Je, watawala wako ee Hai wanafurahia hali hiyo?! Ewe Hai! Usifurahie kuona hata damu ya mwanao mmoja ikimwagika! Ole kwako Hai kama ardhi yako itakubali kunywa damu ya wana wako, kwa sababu tu wakuu wako wanakugombania!

Wanaokugombania kwa gharama za maisha ya wanao hawataweza kukuona kwa kuwa BWANA Mungu wa Majeshi atawakatilia mbali wote wanaopanga njama na mikakati ya kutekeleza fujo, vurugu, na mauaji katika ardhi yako! Lakini, nafasi bado ingalipo! Geuka! Acha njia zako mbaya! Usipotubu, na kuacha njia zako mbaya, utakatiliwa mbali (Ezekieli 33:1-20)!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Watu kama hawa ndiyo wanatufaa kuongoza na kuitwa mchungaji. Siyo wale wafuata ubwawa kwa Maharage.

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania
FB_IMG_1597481575087.jpg
 
Kuna siasa za Kihuni Baba Askofu Damu imemwagika ya binadamu Asiye na Hatia na Alaaniwe Aliyepanga Mauaji hayo.
 
EWE HAI! SIKIA SAUTI YA ASKOFU!

Kuna nini huko Hai ya Kilimanjaro? Mbona sauti za wana wa Hai zenye huzuni zinapiga kelele? Je, watawala wako ee Hai wanafurahia hali hiyo?! Ewe Hai! Usifurahie kuona hata damu ya mwanao mmoja ikimwagika! Ole kwako Hai kama ardhi yako itakubali kunywa damu ya wana wako, kwa sababu tu wakuu wako wanakugombania!

Wanaokugombania kwa gharama za maisha ya wanao hawataweza kukuona kwa kuwa BWANA Mungu wa Majeshi atawakatilia mbali wote wanaopanga njama na mikakati ya kutekeleza fujo, vurugu, na mauaji katika ardhi yako! Lakini, nafasi bado ingalipo! Geuka! Acha njia zako mbaya! Usipotubu, na kuacha njia zako mbaya, utakatiliwa mbali (Ezekieli 33:1-20)!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Watu kama hawa ndiyo wanatufaa kuongoza na kuitwa mchungaji. Siyo wale wafuata ubwawa kwa Maharage.

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania
Baba asante kwa kiongea maana wenzako wamekaa kimya.
Ila wajue, kwa wao kukaa kimya, mawe yataongea.
Na wewe umesha nawa mikono, wala dhambi haiko kwako tena
 
awe makini

ana mfanano wa Kirundi,hasa pua na mdomo na uhamiaji hawakawii

mwambieni atamke 'nne'
 
Huyu nae naona mwishoni atatamka people's akiwa madhabahuni sasa
 
Wengi wanaichezea hii tunu ya amani tuliyopewa na MUNGU ila kuna siku tutakuja kukumbuka neema hii ambapo haitokaa tuje tuipate,
Tufanye siasa za kistaarabu,uroho wa madaraka usitufanye kupoteza huruma na kuacha damu kumwagika
 
Tatizo ccm wanataka kutulazimisha kuwa wana leseni ya kuitawala hii nchi
 
Asante Baba askofu ,yaani Tanzania kwa sasa nawakubali maaskofu wawili kwa kusimamia ukweli na haki nchini ,Baba askofu Bagonza na Mwamakula wengine ni utumbo mtupu full kujipendekeza badala ya kusimamia haki na ukweli.Mimi huwa siweki avatar nimeweka kwa heshima yao kwa jinsi walivyojitoa kulisaidia taifa hili kipindi hiki kigumu sana.
 
Baba asante kwa kiongea maana wenzako wamekaa kimya.
Ila wajue, kwa wao kukaa kimya, mawe yataongea.
Na wewe umesha nawa mikono, wala dhambi haiko kwako tena
Siyo tu kunyamaza wengine wameamua kuungana na wanyang'anyi ili kushiriki kikamilifu ktk ufedhuli huo
 
Yule mwabudu mungu mtu yuko gerezani sasa baada ya mungu mtu kukumbwa na umauti.
 
Back
Top Bottom