Viongozi tuliowadhania kumbe sio

Viongozi tuliowadhania kumbe sio

card78

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
49
Reaction score
48
Naumia na napata mashaka haswa kwa wale nilowaamini kwamba watakapopewa uongozi haliitabadilika ila mambo yamekuwa ndivyo sivyo.

Mara nyingi uteuzi unapofanyika tunaona sura mpya na ñyingine za awali hivyo kuwa na matazamio chanya ila hali inakuwa sivyo .

Najiuliza Je viongozi hawajui au kuona matatizo kwenye maeneo yao ya kazi?

Je, ni uzembe na kutokujali katika mahitaji ya wananchi?

Au ni kuweka mbele Elimu(Status) bila utendaji?
 
Hapa panaitwa bongo wanangallia utendaji kazi katolewa kalemani kawekwa makamba ukame ukaanza lkn kasema baada ya saa48 ukame utaisha.
 
Back
Top Bottom