BAVICHA yafika Njombe kuhudhuria Kesi inayomkabili George Sanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,693
218,213
Goerge Sanga aliyekuwa diwani huko Njombe alipewa kesi ya uongo ya Mauaji wakati wa Uchaguzi wa 2020 ili ashindwe kugombea tena kwa lengo la kumpitisha Mgombea wa ccm bila kupingwa , Hivi ndivyo walivyofanyiwa viongozi wengi wa CHADEMA Nchi nzima .

Tangu wakati huo hadi sasa kijana huyu yuko mahabusu , sasa ni zaidi ya mwaka mmoja , yuko ndani kwa kesi ya Uongo ili kumkomoa tu kwa vile walimshindwa kwenye Jukwaa la kisiasa .

Leo Viongozi wa Bavicha kutoka Makao Makuu wamefika Mahakamani kusikiliza kesi hiyo , ambapo imeahirishwa na itaendelea tena 6/12/2021

Viongozi_wakuu_wa_Bavicha_wakiongozwa_na_mwenyekiti_Mhe._%2540John_Pambalu_leo_Nov._22%252C_20...jpg
 
Back
Top Bottom