Je, Mbowe kausaliti Upinzani Tanzania ?

Je, Mbowe kausaliti Upinzani Tanzania ?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,801
Reaction score
18,743
Jukwaa Huru !

Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu.

Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya?
I mean Askofu Shoo mpenda haki kama tulivyomzoea kimya, Mnyika kimya, yule Mbunge wa Iringa aliyepita kimya, Tundu Lisu kimya hata loya wa chadema Muungu Amsterdam kimya na hajaandika barua yoyote kama tulivyozoea kutaka Mbowe aachiwe, kwa nini ?

Sijaona wala kusikia TAMKO kutoka Ubalozi wa USA au EU kuhusu ,,kuteswa“ kwa Kiongozi Mkuu wa Chadema, hakuna shamra shamra hata za Mitandaoni tu kutaka Mbowe aachiwe.

Hata Ulimwengu anakwenda kumshambulia Spika Ndugai lkn hagusii chochote kuhusu Mbowe.

Je, comrades tunachezewa game ? Upinzani uko wapi ? Siku hizi hata Covid 19 hatusikii wakishambuliwa tena, kwa nini ?

Je, Mbowe kausaliti Upinzani ?
 
Kwanza Kabla hatujaenda mbali, fafanua kama jina Lina uhusiano wowote na mada tajwa. Au ni Mimi TU naanza kikukadiria isivyo sawa?
 
Kesi IPO mahakamani na Mbowe yupo mahabusu ukonga na siovinginevyo,kesi hii Ni kisiasa na Mbowe wanataka wamunyamazishe ili nguvu ya upinzani isiisumbue serikali kwa vile alianzisha vuguvugu la katiba mpya na tume huru.hivo serikali wanarazimisha kila kitu ili ionekane Mbowe Ni gaidi,na swala la ugaidi halina mashiko na ugaidi haufadhiliwi kwa laki sita hii Ni mpya kwa tz.
 
Jukwaa Huru !

Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu.

Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya?
I mean Askofu Shoo mpenda haki kama tulivyomzoea kimya, Mnyika kimya, yule Mbunge wa Iringa aliyepita kimya, Tundu Lisu kimya hata loya wa chadema Muungu Amsterdam kimya na hajaandika barua yoyote kama tulivyozoea kutaka Mbowe aachiwe, kwa nini ?

Sijaona wala kusikia TAMKO kutoka Ubalozi wa USA au EU kuhusu ,,kuteswa“ kwa Kiongozi Mkuu wa Chadema, hakuna shamra shamra hata za Mitandaoni tu kutaka Mbowe aachiwe.

Hata Ulimwengu anakwenda kumshambulia Spika Ndugai lkn hagusii chochote kuhusu Mbowe.

Je, comrades tunachezewa game ? Upinzani uko wapi ? Siku hizi hata Covid 19 hatusikii wakishambuliwa tena, kwa nini ?

Je, Mbowe kausaliti Upinzani ?
Ficha upumbavu wako!
 
Hoja nyeupe kama hizi utaishia kuungwa mkono na kina Helikopta na binamu zao.
 
Tulimuonya yeye na chama chake mapema sana kuacha kupinga vision ya kizarendo ya magufuli lakini hakutaka kusikia ni kama tunavyo muonya huyu mjambiani sasa kuhusu kudharau LEGACY YA JPM
 
Kelele hua zinapigwa Sana mtu akiwa haonekani au Yuko chini ya polisi hajasaliwa mahakamani kujitetea.....upo
 
MTOA UZI LABDA HAUFUATILII TU VYOMBO VYA HABARI.
ASKOFU SHOO ALIONGEA SANA SIKU ILE ANAMZIKA MKWE WA MBOWE TENA AKASEMA KAMA MBOWE NI GAIDI LABDA SIO MBOWE HUYU NINAEMJUA MIMI.
 
Jukwaa Huru !

Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu.

Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya? Tundu Lisu Je, Mbowe kausaliti Upinzani??

Mkuu kama nimeelewa vizuri swali lako, basi jibu ni hivi,

kwa sheria zetu Tz,
Ugaidi hauna dhamana, ndomana Mh bado anatulizwa mahabusu.

Screenshot_20211123-163250.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom