Kigwangalla: Nimekuwa Mbunge miaka 11, ila Rais Samia amefanya mambo sijawahi kuona

UGANDA

Member
Jul 24, 2017
59
125
"Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa kweli anaupiga Mwingi"

"Miradi ya Kimaendeleo Jimboni hapa ametuletea fedha nyingi kutatua kero, Bilioni 1.5 na tumeongezewa bilioni 4 ajili ya barabara Vijijini, hatujawahi Pata fedha nyingi kwenye barabara vijijini Jimbo hili kama hizi sasa tunaenda kukarabati na kupasua barabara mpya"

"Rais Samia Suluhu ameleta Bilioni 1 na milioni 740 kujenga Madarasa zaidi ya 112, ameleta Fedha kujenga Shule Shikizi 11 Halmashauri yetu. Pia ameleta Milioni 583 kata ya puge kupandisha Hadhi Sekondari hii kuwa ya kidato cha Tano na Sita na ujenzi unaendelea"

"Halmashauri yetu ya Nzega Tumepata Bilioni 9 kwenda kutuwezesha kusambaza Maji ya Ziwa Victoria Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Nzenga inakwenda kubadilika, Kero zinatatuliwa kwa Haraka hakika haijawahi kutokea huko Nyuma"

"Tumepokea Milioni 400 Kujenga Kituo cha Afya Nata, Rais Samia amedhamiria kuboresha huduma za afya, pia ametokea milioni 250 kituo cha Afya Mbagwa, Kaloleni 250, Miziba ziba 250, yote hii ni miradi awamu hii hakuna kusuasua fedha Rais Samia anatoa na inatekelezwa"

Mbunge wa Jimbo la Nzenga Vijijini Mhe. Hamisi Kigwangala ameyasema hayo leo Kwenye Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Wilayani Nzenga kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama Mashinani.
IMG_20211122_184032_424.jpg
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,055
2,000

View attachment 2019966
Kwani uongo? Anaupiga Mwingi Sana.

Awaambie hao wananchi wake wakae mkao wa kula,ajira kama zote atawamwagia👇

Screenshot_20211117-213236.png
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,643
2,000
Uzuri wa serikali yenye uwazi! Jiwe alikopa trilion 20 ndani ya miaka mitano hazijulikani zimeenda wapi, maana miradi yake anayosingizia hiyo hela aliipeleka huko yote haijakamilika ndani ya muda aliotudanganya itakamilika! Angeendelea mitano mingine angetuachia deni la tril 100 yule jamaa, na hela yote angeitafuna yeye na ndugu zake
 
PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
594
500
"Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa kweli anaupiga Mwingi"

"Miradi ya Kimaendeleo Jimboni hapa ametuletea fedha nyingi kutatua kero, Bilioni 1.5 na tumeongezewa bilioni 4 ajili ya barabara Vijijini, hatujawahi Pata fedha nyingi kwenye barabara vijijini Jimbo hili kama hizi sasa tunaenda kukarabati na kupasua barabara mpya"

"Rais Samia Suluhu ameleta Bilioni 1 na milioni 740 kujenga Madarasa zaidi ya 112, ameleta Fedha kujenga Shule Shikizi 11 Halmashauri yetu. Pia ameleta Milioni 583 kata ya puge kupandisha Hadhi Sekondari hii kuwa ya kidato cha Tano na Sita na ujenzi unaendelea"

"Halmashauri yetu ya Nzega Tumepata Bilioni 9 kwenda kutuwezesha kusambaza Maji ya Ziwa Victoria Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Nzenga inakwenda kubadilika, Kero zinatatuliwa kwa Haraka hakika haijawahi kutokea huko Nyuma"

"Tumepokea Milioni 400 Kujenga Kituo cha Afya Nata, Rais Samia amedhamiria kuboresha huduma za afya, pia ametokea milioni 250 kituo cha Afya Mbagwa, Kaloleni 250, Miziba ziba 250, yote hii ni miradi awamu hii hakuna kusuasua fedha Rais Samia anatoa na inatekelezwa"

Mbunge wa Jimbo la Nzenga Vijijini Mhe. Hamisi Kigwangala ameyasema hayo leo Kwenye Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Wilayani Nzenga kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama Mashinani.
#VobUpdates
 
Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
798
1,000
Hata Magu katika kipindi chake hakukopa fedha kwa uchaguzi.

Hata wewe K kamati ya chama wilaya haikuwa nawe,mshukuru Magu.Karibu 2025 hatutatumia mfumo wa wajumbe
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,071
2,000
hahahaha naona uteuzi unatafutwa...hivi hamuwezi kuishi bila hizi nyadhifa..

Mbona wenzenu tupo tu mtaani tunaogelea huku kama kambale maisha yanakwenda, tunakula bata kidimbwi, juliana, 777, nk tunasukuma mawild track na vogues vela nk....hahaha
 
chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
2,025
2,000
Ujue Kuna wakati mtu alikuwa amezoea Mara kwa Mara kuvuta hewa Safi ya pale ikulu,alishazoea kutembelea mavieit ,Sasa unapokuwa nje ya mfumo huo lazima ikupe shida sana.mwisho usipoiweka akili yako sawa,utaishia kuwa mwendawazmu na mnafiki,hatimae utajikuta umejiunga na ile team ya praise & waship !! naona mdogo mdogo anaomba kusajiliwa na kwaya !!
 
Mtoto wa Shule

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
8,126
2,000
Uzuri wa serikali yenye uwazi! Jiwe alikopa trilion 20 ndani ya miaka mitano hazijulikani zimeenda wapi, maana miradi yake anayosingizia hiyo hela aliipeleka huko yote haijakamilika ndani ya muda aliotudanganya itakamilika! Angeendelea mitano mingine angetuachia deni la tril 100 yule jamaa, na hela yote angeitafuna yeye na ndugu zake
Ogopa mtu ameishafariki, lakini unashindwa kulala na mwenza wako kwasababu yake. JPM atavitesa zaidi ya vizazi vyako kumi baada yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom