The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Kuna simulizi alikuwa anatoa mzee mmoja mstaafu, kwamba kwenye moja ya uchaguzi sikumbuki ni wa mwaka gani uliofanyika enzi za Serikali ya kikoloni, wajumbe wa halmashauri ya TANU walikuwa wamekubaliana kwamba wasusie uchaguzi kutokana na kutokubaliana na utaratibu mbovu wa kura tatu, ambao ulikuwa unawabeba wakoloni.
Lakini Nyerere hakukubaliana nao kabisa akajenga hoja kwamba tukiwaachia wachaguliwe wenyewe tutapoteza kila kitu ni heri tushiriki ila tudai haki baada ya hapo.
Sasa CHADEMA wataendelea kususia uchaguzi Hadi lini!? Kususia huku kutawafanya wafuasi wao wawkatie tamaa na kuchagua vyama vingine!!!