CHADEMA huruma za kisiasa kupitia mitandao ya kijamii haziwezi kusaidia Mbowe na wenzake kushinda kesi, kesi ni ushahidi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe.

Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha.

Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala lipo mahakamani.

Kudai na kutoa shutuma kupitia mitandao kuwa Detention rejesta ilichakachuliwa au Rpc Kingai anatumia mamlaka yake kuficha ushahidi sio hoja.

Hoja hapa ni kama Jamhuri wanaushahidi basi wathibishe, kama watuhumiwa hawana kosa basi wadisprove hizo tuhuma.
 
Kama huruma haiwezi kuwa saidia basi waambie hujuma, uonevu, ubambikiaji unaoratibiwa Kwa gharama kubwa utawasaidia
 
Maagizo kutoka juu😁😁😁
AIgmal.jpg
 
Madhara ya kutoamini mahakama.
Kama Rais anaingilia mahakama hiyo mahakama itaaminikaje?

Unaelewa kuwa wakati kesi ipo mahakamani Rais alidai kuwa wenzake na Mbowe wameshahukumiwa?

Unaelewa kuwa wakati kesi ipo mahakamani Rais alidai kuwa Mbowe ni gaidi?
 
Back
Top Bottom