Moja ya operation za kijinga sana kuwahi kufanywa na CHADEMA ni hii wanaita CHADEMA Digital

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,502
2,046
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
 
Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Taahira kama wewe huwezi kuelewa kinachofanyika ngojea usiku uingie na wewe uingiliwe maisha yaendelee. Huna adabu kabisa kuita kazi tunayofanya ni ya kijinga, mjinga ni wewe unayengojea kuingiliwa ili upate mkate wako wa siku.
 
Kuwajua wanachama wako na kuwaandikisha kielectronics ni tatizo? Kama hivyo ndiyo basi kujiandikisha NIDA nako ni ujinga na matumizi mabaya ya pesa za umma sababu mbona tunajuana wenyewe wa wenyewe kwa nini tena tutumie hela nyingi hivyo kujiingiza kwenye huo mfumo wa kidigitali wa vitambulisho?

Kidumu chama cha Mapindizi.
 
Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Hivi ni kwa nini Mungu amewanyima baadhi ya watu akili?

Wanakula hela za chama kwa ruzuku ipi?

Hujui kuwa mtu mpaka anakubali kujiandikisha huyo tayari umempata!

Nguvu ya mitandao karne hii bado huijui!
 
Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Yaonekana ushauri huo umetumwa na Sirro. Pole

OIP.qq3vvVOKFKvhlKECx6TcPwHaFj
 
Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Unamaanisha watafute madhaifu ya CCM wazunguke wayapigie kelele. Wewe either una wazimu au huzijui siasa za Tanzania tangu awamu ya tano. Watapiga hizo kelele dhidi ya madhaifu ya CCM, polisccm na Tiss-ccm aka wasiojulikana wakiwa wapi???
 
Hivi ni kwa nini Mungu amewanyima baadhi ya watu akili?

Wanakula hela za chama kwa ruzuku ipi?

Hujui kuwa mtu mpaka anakubali kujiandikisha huyo tayari umempata!

Nguvu ya mitandao karne hii bado huijui!
Kwa akili yako hebu niambie tija ya kusajili hao watu
 
Unamaanisha watafute madhaifu ya ccm wazunguke wayapigie kelele. We we either una wazimu au huzijui siasa za Tanzania tangu awamu yatano. Watapiga hizo kelele dhidi ya madhaifu ya ccm , polisccm na Tiss-ccm aka wasiojulikana wakiwa wapi ???
Kama hawawezi kufanya hayo ni heri wajifute tu ijulikane hatuna upinzani
 
Upumbavu mwingi kwenye hoja hii,dunia ya sasa nu ya techonolojia mkuu!fundisha pia watoto wako kuhusu coding!
Sikiliza wewe jaribu kupitia kwa wananchi wa kawaida uone shida halisi zinazowakabili uone kama usajili wa kidijital una impact yoyote
 
Huenda Wana mkakati wa kuingia madarakani 2087..!! Kizazi kitachokuwepo watakuwa na hyo digital awareness...!! Kwa sa hv wanatwanga maji kwenye kinu
Yaani kwa mwenendo huu, hata 2087 ni jirani itahitajika karne kama tatu hivi!!
 
Kwa akili yako hebu niambie tija ya kusajili hao watu
...Kukusanya ada za wananchama kwa urahisi,
...Kutunza kumbukumbu za wanachama kwa uhakika(ata mkichoma ofisi data zinabakia online),
...Kutathmini uhai wa chama,
...Kushirikisha na kuwasiliana na mwanachama kwa haraka na urahisi...n.k.

Kama ulikuwa hujui haya basi chama chenu kina watu mbumbumbu kweli!
 
Sikiliza wewe jaribu kupitia kwa wananchi wa kawaida uone shida halisi zinazowakabili uone kama usajili wa kidijital una impact yoyote
Shida zinafahamika kwenu kwa zaidi ya miaka 60 na hakuna mlilofanya maana maji,umeme na ujinga na malazi bado ni changamoto.

Hii ya kusajili kama una akili ndogo hatojua impacts zake,ni mbadala wa mikutano mliyozuia,one door is closed the other one is open...huwezi kupambana na mwanadamu
 
Back
Top Bottom