Denis Urio, msiri wa Kingai, kwanini hajaletwa kizimbani wakati yeye ndiye source ya kesi ya Ugaidi?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Wakuu, story ya kesi ya Ugaidi, kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake ni msiri wa Kingai ambaye ni Denis Urio!

Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!

Cha kushangaza, mpaka sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio.

Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo (Denis Urio), anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani?

Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii, na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!

Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!
 
Denis Urio atakuja upande wa utetezi, pia inasemekana kuwa Urio aliwatafutia kazi kwa Nia njema tu. Lazimi wachawi wakina kingai, Jumanne na Mahita wakageuza kibao.

Ngoja tuone, hata Sirro alitwe. Ikiwezekana hata Samia aitwe maana alisema wenzake na Mbowe wamefungwa waitwe kwa Order ya mahakama aeleze maelezo nani aliyempa hizo info.
 
π‘²π’˜π’‚ π’Žπ’‚π’†π’π’†π’›π’ π’šπ’‚ 𝒍𝒆𝒐 π’šπ’‚ π’Žπ’•π’–π’‰π’–π’Žπ’Šπ’˜π’‚ π’Žπ’Žπ’π’‹π’‚π’˜π’‚π’‘π’... π‘«π’†π’π’Šπ’” π‘Όπ’“π’Šπ’ π’π’‚π’šπ’† π’‚π’π’Šπ’Œπ’–π’π’‚ π’Žπ’Šπ’Œπ’‚π’›π’ π’Œπ’Šπ’Œπ’‚π’Žπ’Šπ’π’Šπ’‡π’–!

𝑡𝑩: π‘΄π’‚π’”π’‰π’‚π’‰π’Šπ’…π’Š π’˜π’‚ π’–π’•π’†π’•π’†π’›π’Š 𝒏𝒂 π’˜π’‚π’•π’–π’‰π’–π’Žπ’Šπ’˜π’‚ π’˜π’‚π’Œπ’Šπ’‹π’Šπ’‘π’‚π’π’ˆπ’‚ π’—π’Šπ’›π’–π’“π’Š π’Œπ’–π’‹π’Šπ’ƒπ’– π’Žπ’‚π’”π’‰π’‚π’Žπ’ƒπ’–π’π’Šπ’›π’Š π’ƒπ’‚π’”π’Š π’Œπ’†π’”π’Š π’Šπ’π’‚π’Šπ’”π’‰π’‚ 𝒄𝒉𝒂𝒑!
 
Kingai, Mahita, Urio nk bado niwateja wa mahakama kwenye kesi ya msingi.
 
Hawa wana ma safe houses kama walikomuweka Mdude.

Labda hata kina Ben na Lijenje wako huko. Wakiona utawasumbua wanajiamulia cha kufanya.

Hawaaminiki hawa.
Umeacha kupambana na Corona sasa umehamia kwenye kupiga ramli chonganishi!
 
Umeacha kupambana na Corona sasa umehamia kwenye kupiga ramli chonganishi !!

Vipi mpambe kindaki ndaki wa mwendazake kwani mnaaminika?

IMG_20211015_144814_546.jpg


Chanjo nayo je ulishapata?

IMG_20211125_230622_748.jpg


Cc: Matola
 
Denis Urio atakuja upande wa utetezi, pia inasemekana kuwa Urio aliwatafutia kazi kwa Nia njema tu. Lazimi wachawi wakina kingai, Jumanne na Mahita wakageuza kibao.

Ngoja tuone, hata Sirro alitwe. Ikiwezekana hata Samia aitwe maana alisema wenzake na Mbowe wamefungwa waitwe kwa Order ya mahakama aeleze maelezo nani aliyempa hizo info.
Hahaa!!kwa mahakama zetu hizi kumuita rais aliyeko madarakani ni sawa na kuambiwa kamuite yesu!!!
 
Back
Top Bottom