Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu yaendelea kuvutia Mabalozi na Wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,372
2,000
Ijumaa_Kareem%0A#MboweSioGaidi.jpg

Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa .

FB_IMG_1631260847520.jpg
FB_IMG_1631260835533.jpg

Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu .

Baba_na_Mwana_Wakiteta_Jambo_Ndani_ya_MAHAKAMA_KUU_full_Tabasamu.jpg

Endelea kutufuatilia ili kufahamu yanayojiri Mahakamani
 
KANYAMA

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,080
2,000
Huyo mdhungu kaja kudanga tu kortini. Haohao wanahudhuria kortini jioni utasikia haohao wametoa bilioni kadhaa kusapoti kazi nzuri ya serikali. Nyumbu huwa hamuwezi kujinasua na misimamo ya kijinga kama wataleban. Subirieni mvua zinamhusu DJ
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
172,932
2,000
View attachment 1931761

Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa .

View attachment 1931748 View attachment 1931750

Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu .

View attachment 1931758

Endelea kutufuatilia ili kufahamu yanayojiri Mahakamani
Mungu ibariki CHADEMA Mungu zidi kumtia nguvu mwamba
 
Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
9,756
2,000
Mkuu, tunatumai kuwa mambo yatakuwa mazuri huko mahakamani. Halafu, huyo dada aliyechuchumaa mbele ya Mbowe amependeza na pete zake mkononi na mguuni. Msalimie sana!
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,352
2,000
Ni vyema wakihudhuria, ili ikitokea sheria imemkuta na hatia na kapewa miaka kadhaa msipate mwanya wa kwenda kuwadanganya kama ilivyo kawaida yenu.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
11,254
2,000
Mvua nyingi zinamuhusu alifikiri kubadili jaji ndiyo suluhisho?
Ndugu yangu, yawezekana shetani ndie anakuendesha kushabikia sana dhulma kwa wengine bila hata chembe ya soni.
Ninakuombea uhai ili uje na uwepo kushuhudia Mbowe akitoka akiwa HURU, nikitumaini kwamba itakusaidia kuachana na shetani pamoja na mambo yake yote.
Mungu mwenye upendo atakusamehe, kukupokea na kukufanya uwe kiumbe kipya.
AMEN
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,406

SAWA NDUGU MBOWE ATATOKA JE SABAYA VIPI ALE MVUA?
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,406
2,000
Ni vyema wakihudhuria, ili ikitokea sheria imemkuta na hatia na kapewa miaka kadhaa msipate mwanya wa kwenda kuwadanganya kama ilivyo kawaida yenu.
hao wanaenda kuhakikisha jamaa anakula mvua ngapi maana walimpa hela nyingi waingie madarakani ili waje kula rasilimali zetu
 
mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
893
1,000
Imeandikwa "Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu"

Pia imeandikwa " Mungu akiwa upande wetu, Ni nani aliye juu yetu"

Mungu aliyefunga kinywa Cha Simba wakat Daniel ametupwa katika Shimo la Simba huyu ndiye atakaye mtetea Mbowe dhidi ya watesi wake!

Mungu mbariki mbowe, mtetee, muokoe na kumtoa katika mikono ya watesi wake!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom