Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NUKUU ZA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA KIWANDA CHA RADDY FIBER (FIBER OPTIC CABLE) MKURANGA PWANI. "Urasimu katika uwekezaji ni suala ambalo halina nafasi kwenye serikali hii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 191.20, katika ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa: A. Kutokana na Ukaguzi maalumu katika ukusanyaji wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Mashirika ya Umma, baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 35.96 ni kama; a. Upotevu wa Tsh. bilioni 20.17 kutokana na kufutwa kwa madeni...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Rais wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) amekataa kupokea ekari 50 ambazo Serikali ya Mkoa wa Mbeya imezitoa kwa ajili ya ujenzi wa...
50 Reactions
276 Replies
20K Views
Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu? Endeleeni na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la...
51 Reactions
452 Replies
46K Views
Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu. Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa...
16 Reactions
40 Replies
5K Views
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga...
13 Reactions
108 Replies
7K Views
Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao. Je, wakija taka...
0 Reactions
5 Replies
841 Views
Binafsi naamini tunasherehekea kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Tanganyika ambayo leo haipo bali tuna Tanzania. Ukisema kwa mfano miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika unamaanisha nini? Tanzania ina...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nakumbuka tulitangaziwa mkutano wa kujenga mahusiano mema kati ya polisi na vyama vya siasa ulioandaliwa na Msajili Jaji mstaafu Mutungi. Je, mkutano huu ulishafanyika? Maendeleo hayana vyama!
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa. Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti...
6 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuhusu mahojiano yayaliyofanyika kati ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula na Gazeti la UHURU mimi najikita kwenye dhima ya Mahojiano hasa ya maoni Mzee Mangula kuhusu ujenzi wa bandari...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama mjuavyo ndugu zanguni wahenga wana msemo wao usemao neno "ningejua huja mwisho wa jambo" Nimetafakari sana hali ya kimaisha inavyoenenda nikaona kabisa iko haja ya kupitia upya mienendo...
2 Reactions
15 Replies
907 Views
Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda...
11 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
"Mimi sikubaliani na suala la mtoto aliyepata ujauzito kurudi shule hata kidogo, hii ni kwa sababu ya Mila, desturi, utamaduni na mazingira pamoja na dini, hakuna dini yoyote inaruhusu mtoto wa...
17 Reactions
78 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Kwa maslahi mapana ya Taifa na chama changu ninaona kuna mambo hayajakaa sawa. Idara yetu ya mambo ya nje na wasaidizi wa Ikulu wanafurahia posho za safari na vikao lakini hawampi...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Nimepita kijiji au tuseme mji wa Lupaso kiukweli hali yao ya kimaendeleo ni ya kawaida kabisa. Ahsante Wana Lupaso kwa ukarimu wenu. RIP Mkapa. Maendeleo hayana vyama!
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom