Hii itakuwa ndiyo kesi aliyoisema Rais Samia alipohojiwa na BBC na watu wakadhani anademka- Thubutu

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,591
2,000
Matata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini

Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani

Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje

Shahidi: Tarehe 25 September 2020 baada ya Kufika Kisutu Nilikutana na Hakimu Na Nikasomewa Mashtaka yanayohusiana na Vitendo Vya Kigaidi

Shahidi: Anaitwa Mheshimiwa Simba

Matata: hiyo kesi ilikuwa kesi namba Ngapi na Mwaka gani

Shahidi: ilikuwa kesi namba 63 ya Mwaka 2020, ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi

Matata: Mlikuwa wangapi
 
tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
961
1,000
Hivi mtu kama Goodluck, Jumanne, Mahita na Kingai wanajisikiaje watu wanavyoelezea mateso waliyowapa bila sababu?
Ila Mungu hachoki na halali.

Nenda kaulize wafungwa na mahabusu wa kesi za ugaidi gereza la Guantánamo ujue madhira wanayokutana nayo mule

Usalama wa nchi unalindwa kwa Gharama yoyote ile kwasababu ndio kipaumbele kikuu ktk nchi yoyote ile
 
Hamiyungu

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
464
500
Nenda kaulize wafungwa na mahabusu wa kesi za ugaidi gereza la Guantánamo ujue madhira wanayokutana nayo mule

Usalama wa nchi unalindwa kwa Gharama yoyote ile kwasababu ndio kipaumbele kikuu ktk nchi yoyote ile

Upelelezi unatakiwa ufanyike wa kutosha kabla ya kukamata mtu,kwa hawa polisi huo uwezo awana,wanatumia torture kufunga majalada yao….maana mtu akisha teswa anaamua akili tu lkn upelelezi ule wa kitaalamu hakuna kabisa….

Ni uonevu tu na kuharibia future za watu!
 
Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
4,265
2,000
Kwa hiyo huyu Komando wa Leo ametokea gerezani? Au unaazisha thread mkurupuko? Hiyo kesi No.63 ilifutwa Kwa ombi la DPP au ukishafikishwa mahakamani unaitwa mfungwa?
Huyo jamaa hajielew, ndio maana nikamuuliza alikuwa unataka kusema nn.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
56,918
2,000
Matata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini

Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani

Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje

Shahidi: Tarehe 25 September 2020 baada ya Kufika Kisutu Nilikutana na Hakimu Na Nikasomewa Mashtaka yanayohusiana na Vitendo Vya Kigaidi

Shahidi: Anaitwa Mheshimiwa Simba

Matata: hiyo kesi ilikuwa kesi namba Ngapi na Mwaka gani

Shahidi: ilikuwa kesi namba 63 ya Mwaka 2020, ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi

Matata: Mlikuwa wangapi
Je kesi ilisikilizwa na watu wakahukumiwa kama alivyosema Mama yenu???

Aisee tutafute pesa tupeleke watoto shule nzuri tupunguze hii idadi ya mazwazwa a.k.a lumumba buku 7.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom