Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

.............................................. Nawasalimu sana wanandugu! Kwanza: Mniwie radhi nilikua njiani kutoka Tanga kwa mazishi ya baba yake DED wa Ikungi ndio maana nimechelewa kuandika...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Mwanachama machachali sana ndani ya CCM ndugu Humphrey Polepole a.k.a Comred Polepole pamoja na genge lake lipo hatiani kuondoka ndani ya Chama cha mapinduzi kutokana na kwenda sawa na mfumo wa...
9 Reactions
64 Replies
7K Views
Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda nitoe Elimu kwa watanzania juu ya propaganda za wana CCM kuwa yeyote anayempinga Raisi Magufuli ni kibaraka wa Mabeberu. Wanasema haya wakitaka kujenga picha...
10 Reactions
12 Replies
3K Views
Hata Kama mengine wanamuonea~ alisikika mama mmoja wa zaidi ya miaka 50 akisema. Namkumbuka mama yule aliesema hatopiga kura mpaka barabara ya mkoa wake kuwekewa Rami. Mara nyingi alikuwa hawaungi...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zinazotembea hivi sasa ni kuwa punde hivi Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base). Kama ilivyoomba nchi kadhaa ikiwemo UAE...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
David James McAllister, aliyezaliwa January 12 mwaka 1971, ni mtu wa kutiliwa mashaka makubwa anayehudumu katika Bunge la Ulaya (European Parliament) kutokea Ujerumani. McAllsiter ambaye ana doa...
5 Reactions
129 Replies
9K Views
Ifahamike kuwa EU kama watu wana maslahi yao yaliyo wazi kwenye mahusiano yao na nchi yoyote. Ya muhimu zaidi kwenye kuihusu Tanzania ni: 1. Usalama wao hasa dhidi ya Corona 2. Umuhimu wa uhuru...
1 Reactions
4 Replies
880 Views
Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241] amesema kamwe hatayumbishwa kwa lolote na ataendelea kuchukua hatua kali kwa watendaji wasio waaminifu na ameahidi kusimamia maslahi...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika eneo pekee ambalo hayati Magufuli hakuliwekea mkazo wa kutosha ni kwenye teuzi za watendaji wa serikali. Magufuli alijaza makada wa CCM serikalini na jambo hili halina afya sana kwa...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Mpaka sasa sijaona kosa alilofanya. Mambo yote aliyofanya ni sahihi. Ni muhimu kwamba usimkejeli rais kwa sababu ya maneno aliyosema huyu au yule. WEWE ndio uwe mwamuzi. Usikubali mtu akuambie...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi na mashabiki wa upinzani kuwasifia viongozi wa CCM pindi wanpokuwa wamestaafu toka kwenye majukumu yao ya kiserikali/chama. Utamaduni huu unawachanganya...
2 Reactions
9 Replies
872 Views
Hili ni pendekezo kwa maoni yangu and i am open to be criticized. Lengo la muungano lilikuwa ni ndoto ya Nyerere kufanya nchi zote za Africa ziungane iwe nchi moja, na hatua ya kwanza ilikuwa ni...
1 Reactions
18 Replies
951 Views
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - : Maji tunalipia Umeme tunalipia Elimu tunalipia Hospitali tunalipia barabara tunalipia Mtanzania anapata wapi Asante ya...
14 Reactions
74 Replies
4K Views
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza...
30 Reactions
153 Replies
16K Views
Ukipita mitandaoni huko,na ukiwakuta watu maeneo mbalimbali jinsi wanavyoongea unaweza kupata mashaka makubwa juu ya uvumilivu wa watanzania. Watu wanaongea Sana Kwa masononeko juu ya kupanda bei...
4 Reactions
15 Replies
973 Views
SEHEMU YA NUKUU ZA HOTUBA YA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA SHEREHE YA MAULID MADRASAT NURUU TEMEKE MWISHO DSM "Nitoe wito kwa viongozi wa dini...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Jina Jina la kwanza ni Mathayo David Msuya. Ila baada ya kuingia anga za siasa, aliamua kulibadili jina lake kuwa Mathayo David Mathayo na kuondoa jina la ukoo "Msuya" ambalo ni jina la baba yake...
7 Reactions
106 Replies
26K Views
Inawezekana kila tunalolifanya, hamtuelewi au mnapotoshwa na hivi vyama uchwara na baadhi ya wasaka tonge,mbali ya ilani zetu kedekede ambazo zinazidi kufurika hadi hatuna pa kuziweka, bado...
2 Reactions
12 Replies
981 Views
Back
Top Bottom