Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.

Huduma kama vile - :
  • Maji tunalipia
  • Umeme tunalipia
  • Elimu tunalipia
  • Hospitali tunalipia
  • barabara tunalipia
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
 
Hili ni swali Zuri. Miradi mingi ni Pesa za misaada. Pitia mabango ya Miradi soma nani katoa Pesa. Kodi haijawa wazi inatumika wapi na kivip...mimi ninajiuliza kama wewee.

Elimu haijawa bure,maji hayajawa bure, afyaa haijawa bure. Nk nk.nawaapiaa Nchi hii kuna Genge litakua limejitajirishia kodi za wananchi kwa ustad wa hali ya juu,ila siri!

Imefchika kwasababu Hili kundi linaanda Mamlaka kila leo ya kulinda ujambazi huu!! Nin kifanyike?
 
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.

Huduma kama vile - :
  • Maji tunalipia
  • Umeme tunalipia
  • Elimu tunalipia
  • Hospitali tunalipia
  • barabara tunalipia
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
Swali zuri

Nchi zingine njia mojawapo hurudisha asante moja kwa moja ni kwa kumpunguzia mlipa kodi gharamna za kusomesha mwanawe vyuo vikuu mfano bila kujali ni mtoto wa Bill gates aweza someshwa bure kama asante ya moja kwa moja kwa mlipa kodi

Tanzania walipa kodi wakubwa watoto wao ndio hupewa kipaumbele cha kunyimwa mikopo ya kusoma elimu ya chuo kikuu!!! Mlipa kodi mkubwa harudishiwi asante hata ya mkopo tu wa mwanae kusoma chuo kikuu.
 
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.

Huduma kama vile - :
  • Maji tunalipia
  • Umeme tunalipia
  • Elimu tunalipia
  • Hospitali tunalipia
  • barabara tunalipia
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
Unalipa mishahara ya wabunge wako
 
Wanaoifaidi ni ccm
ruzuku chadema mumeila hadi mkashindwa kujenga hadi ofisi ya makao makuu hilo umesahau? WAbunge wenu ambao walikuwa hawalipi kodi wameila sana hela ya walipa kodi wakati wakiwa wabunge wasiolipa kodi
 
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.

Huduma kama vile - :
  • Maji tunalipia
  • Umeme tunalipia
  • Elimu tunalipia
  • Hospitali tunalipia
  • barabara tunalipia
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
Si tuoapewa tshirt za njano na kofia zake kila miaka mitano inapokamilika! Halafu tunashangilia kichiz
 
Nchi hii ukifikiria mambo mengi utakwama, cha msingi jifanye huoni siku ipite.

Mshahara sijui unaingia leo? hapo watakata PAYE, afu kiasi kilichobakia nitalipa 18% ya mahitaji yangu yote ya mwezi, Maji, Umeme, mafuta ya gari, tozo nk

Napumulia wapi?
 
Utalipia hadi Oxygen
 
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.

Huduma kama vile - :
  • Maji tunalipia
  • Umeme tunalipia
  • Elimu tunalipia
  • Hospitali tunalipia
  • barabara tunalipia
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
Unanikumbusha Song Moja la kibabe la Luckdube la Taxman.
Philip Lucky anauliza analipa kodi ya nini ? kama analipa wakili, dokta? usafiri, ulinzi, elimu, umeme, n.k hiyo kodi anq

yolipa ni ya nini?

Tell me Mr Taxman
 
Nimeutafuta huo wimbo na kuusikiliza nimeona Africa safari bado sana tunaitaji miaka laki
 
Back
Top Bottom