Baada ya Rais Samia kumaliza kutawala muhula miwili kwa mujibu wa katiba Watanzania tutajitokeza kuandamana kumtaka aendelee na tutashinikiza bunge lifanye mabadiliko Rais Samia aongezewe Muda...
Kumekuwa na utamaduni mbaya wa bodi nyingi za mashirika ya umma kutokujua wanatakiwa kufanya nini. Bodi nyingi wanaona kuwa mjumbe ni kama biashara ya kupata pesa bure za vikao, kumwendesha...
Nimealikwa na Star ⭐️ TV nimekubali kwa sharti moja kwamba Mjadala ujikite katika kujenga na kuweka mbele Maslahi Mapana ya Nchi yetu!
NB: Ukitaka kujua NB ya leo fuatilia Star ⭐️ TV saa 3:30...
Mheshimiwa Rais una kila sababu ya kufatilia baadhi ya miradi mikubwa ya Serikali zaidi yakusubiri wasaidizi wako acha kulalamika lalamika pamoja na mambo mengine lipo kundi linaona linakutetea...
Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali".
Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali...
Ilikuwa Oktoba 16, 2015 pale Bagamoyo ambapo Rais wa wakatiuo Jakaya Mrisho Kikwete aliweka jiwe la msingi kuashiria ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza rasmi huku akiwa Mkurugenzi wa kampuni...
KUELEKEA MWAKA 2030 KATIBA UWE NI MJADALA WA KITAIFA.
Ni mara chache sisi WanaCCM kujitokeza kuandika haya hadharani hasa Kwa kuwa misingi ya Chama chetu ni kusemana ndani. Lakini nineona hili...
Rais Samia kula nao sahani moja.
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.
Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani...
Baada ya rais Samia kubadilika na kuwa makali Lisu matumbo joto maana hana chake tena 2025.
Njia pekee ya Lisu kushinda uchaguzi ni mpaka kuwe na ufisadi serikalini.
Kama ufisadi ukithibitiwa ni...
Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo...
Kesi ya Mbowe ingali ikirindima. Hata hivyo tayari kuna ambayo hatukuyajua ambayo leo tunayajua zaidi.
Kumbe pana Makomando wengi wanaweza kuwa walipotea baina 2015 - 2021.
Nani ajuaye huenda...
Komando Mhina popote pale alipo na apokee salamu za kheri kutoka kwetu tunaoyaishi machungu yao.
Akiwa mtu huru, Commando Mhina alifika mahakamani kufanya sehemu yake ya kuuanika ukweli.
"Kwani...
Kumekuwa na malalamiko mengi ya ufisadi mkubwa wa hela nyingi katika bandari ya Dsm miaka nenda rudi.
Awamu ya 5 ya JPM, kila mara walikuwa wanafanya ziara za kushtukiza bandarini hapo, kutengua...
Ule mpango wa Kisasa wa Kusajili wanachama wa Chadema unaoitwa CHADEMA DIGITAL umeendelea kusonga mbele kwa mafanikio makubwa sana, Na sasa umeingia boda ya Malawi kwenye kijiji kinachoitwa...
Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi.
Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi...
Wana CCM mliopo mtandaoni.
Ni kweli wapinzani hawana ajenda na bawajawahi kuwa nayo zaidi ya blah blah tu.
Lakini, nasema lakini sisi wana CCM kupitia CCM Maslahi ndio tunawapa hawa wapinzani...
Kichwa huweka mipango, kuyaongoza matendo, huvitawala viungo, viungane kwa upendo, kama kugeuza shingo, miguu yapunguza mwendo, kichwa umekosa mwili, kiwiliwili jeuri.
Kichwa ukikosa mwili...
Kweli Dunia hadaa na ulimwengu shujaa, Mfungwa Lengai Ole Sabaya wakati huo akitisha watu kuwafungulia kesi za uhujumu Uchumi aliwategemea mawakili wa serikali watamsaidia kufanikisha jambo
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.