Kwa hili nakupongeza Rais Samia Suluhu Hassan

songo mwene

Member
Jan 12, 2014
90
97
Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kamwe hatayumbishwa kwa lolote na ataendelea kuchukua hatua kali kwa watendaji wasio waaminifu na ameahidi kusimamia maslahi ya wananchi na atahakikisha anasimama na WANANCHI hayo ameyasema akiwa Bandari ya Dar ea salaam TPA.

Katika hatua nyingine amevunja bodi zote mbili ambazo ni bodi ya Meli na TPA.

Pia amesema Kuna ufisadi ulifanyika huko nyuma na Sasa wanaungushia lawama serikali ya awamu ya Sita, ameapa kupambana nao bila kumuonea aibu mtu yeyote.

Mh Rais hongera kwa kulitambua hilo na mimi naomba uendelee kuchukua hatua kali na ikipidi wafikishwe kwenye mahakama ya mafisadi, mafisadi ni watu hatari Sana kwa uchumi wa NCHI yetu, bila hatua kali kuchukuliwa wataendelea kutamba na kula fedha za walipa kodi,

#SSH
KAZI IENDELEE
 
Nilisikia kipindi cha Magu kauli hizi lakini mwisho wa siku Mama kasema kulikuwa na mambo ya hovyo sana.

CCM ni matatizo tu hakuna kitu hapo.
 
Ajitenge tu na JPM na Mambo yote aliyofanya mema na Yale mabaya ili tuanze upya.
Anafikiri kutengeneza legacy Kama ya JPM ni kitu rahisi.
Nchi ilikosa hata ndege moja kwa miongo kadhaa,yeye kafufua shirika upya anafikiri kazi rahisi.

Kwa vile Msoga ndo rafiki yake amuulize kwanini alishindwa kununua hata ndege moja kwa miaka 10 pamoja na kutembeza bakuli Ulaya?
 
Tatizo wapambajj wa kusifu wapo humohumo na haohao ndio wachafuzi..
Ukisikia mtu anasifia saaana ujue ipo shida mahali....
Punguza serikali period
 
Ajitenge tu na JPM na Mambo yote aliyofanya mema na Yale mabaya ili tuanze upya.
Anafikiri kutengeneza legacy Kama ya JPM ni kitu rahisi.
Nchi ilikosa hata ndege moja kwa miongo kadhaa,yeye kafufua shirika upya anafikiri kazi rahisi.

Kwa vile Msoga ndo rafiki yake amuulize kwanini alishindwa kununua hata ndege moja kwa miaka 10 pamoja na kutembeza bakuli Ulaya?
Kununua ndege na kufufua shirikia ni jambo zuri. Kubariki upigaji wa kampuni ya Uturuki ni jambo baya na la kifisadi kwa nchi hii.
 
Na kwa sasa kuna wanafiki wengi na wanaomkwamisha hususani kundi mwendazake sasa Hawa ni WA kushughulikiwa maana walikuwa hapo kwa maslahi ya kundi lao.

Akiwabaini awawashie moto mkali Sana .
 
Ajitenge tu na JPM na Mambo yote aliyofanya mema na Yale mabaya ili tuanze upya.
Anafikiri kutengeneza legacy Kama ya JPM ni kitu rahisi.
Nchi ilikosa hata ndege moja kwa miongo kadhaa,yeye kafufua shirika upya anafikiri kazi rahisi.

Kwa vile Msoga ndo rafiki yake amuulize kwanini alishindwa kununua hata ndege moja kwa miaka 10 pamoja na kutembeza bakuli Ulaya?
Msoga kujenga kilomita 14000 za barabara za lami nchi nzima. Hizi barabara ni sawa na ndege ngapi kwa akili yako. Kabla ya 10 kuna Kenda.
 
Aaaa kweli walipiga kazi maana JPM hakujenga hata barabara,hakusambaza umeme,hakufanya miradi mingine zaidi ya kununua ndege.

Halafu JPM akapiga pesa ndefu kwenye ESCROW, RICHMOND,wafanyakazi hewa nk

Salute awamu ya nne..
 
Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kamwe hatayumbishwa kwa lolote na ataendelea kuchukua hatua kali kwa watendaji wasio waaminifu na ameahidi kusimamia maslahi ya wananchi na atahakikisha anasimama na WANANCHI hayo ameyasema akiwa Bandari ya Dar ea salaam TPA.

Katika hatua nyingine amevunja bodi zote mbili ambazo ni bodi ya Meli na TPA.

Pia amesema Kuna ufisadi ulifanyika huko nyuma na Sasa wanaungushia lawama serikali ya awamu ya Sita, ameapa kupambana nao bila kumuonea aibu mtu yeyote.

Mh Rais hongera kwa kulitambua hilo na mimi naomba uendelee kuchukua hatua kali na ikipidi wafikishwe kwenye mahakama ya mafisadi, mafisadi ni watu hatari Sana kwa uchumi wa NCHI yetu, bila hatua kali kuchukuliwa wataendelea kutamba na kula fedha za walipa kodi,

#SSH
KAZI IENDELEE
Hapa tutofautishe. Kuna vigogo wanaamini mama poa tu, ndio hao wamefufua tabia za upigaji bila hofu. Mama alichofanya kuwaendea deep kwa ile style ya ki jpm na kuwabaini. Alisema watu wasimuone poa. Wapigaji wanaona tabia yao ndio kawaida na mtu anawawekea uzibe ni roho mbaya.
Heko mama. Unaanza kuwapa matumaini magufulists. Kaza buti hadi viatu vikutoshe.
 
Pia amesema Kuna ufisadi ulifanyika huko nyuma na Sasa wanaungushia lawama serikali ya awamu ya Sita, ameapa kupambana nao bila kumuonea aibu mtu yeyote.
Jiwe na watu wake akina Bashiru na Polepole walikuwa wezi sana
 
Aaaa kweli walipiga kazi maana JPM hakujenga hata barabara,hakusambaza umeme,hakufanya miradi mingine zaidi ya kununua ndege.

Halafu JPM akapiga pesa ndefu kwenye ESCROW, RICHMOND,wafanyakazi hewa nk

Salute awamu ya nne..
Orodhesha miradi 20 ya jpm halafu tuone na miradi ya jk (nusu ya miradi) uone ipi mingi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwinyi mwenyewe Alishakiri wao watatu hawewezi kumfikia JPM.
Sasa wewe mwenzetu ni mgeni Yerusalemu?
 
Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kamwe hatayumbishwa kwa lolote na ataendelea kuchukua hatua kali kwa watendaji wasio waaminifu na ameahidi kusimamia maslahi ya wananchi na atahakikisha anasimama na WANANCHI hayo ameyasema akiwa Bandari ya Dar ea salaam TPA.

Katika hatua nyingine amevunja bodi zote mbili ambazo ni bodi ya Meli na TPA.

Pia amesema Kuna ufisadi ulifanyika huko nyuma na Sasa wanaungushia lawama serikali ya awamu ya Sita, ameapa kupambana nao bila kumuonea aibu mtu yeyote.

Mh Rais hongera kwa kulitambua hilo na mimi naomba uendelee kuchukua hatua kali na ikipidi wafikishwe kwenye mahakama ya mafisadi, mafisadi ni watu hatari Sana kwa uchumi wa NCHI yetu, bila hatua kali kuchukuliwa wataendelea kutamba na kula fedha za walipa kodi,

#SSH
KAZI IENDELEE
Usije ukasahau hizo bodi alizovunja aliziunda ye mwenyewe May 3
2761579_IMG_20210503_143241%20(1).jpg
 
Kununua ndege na kufufua shirikia ni jambo zuri. Kubariki upigaji wa kampuni ya Uturuki ni jambo baya na la kifisadi kwa nchi hii.
Wapi JPM alibariki kampuni ya Yücel Tekin Shipbuilding Company? Samia alifukuza Mkurugenzi Engineer Kakoo na akavunja Bodi ya TPA akatangaza nyingine aliyovunja ye mwenyewe May 3, 2021.
2761579_IMG_20210503_143241%20(1).jpg
 
Ajitenge tu na JPM na Mambo yote aliyofanya mema na Yale mabaya ili tuanze upya.
Anafikiri kutengeneza legacy Kama ya JPM ni kitu rahisi.
Nchi ilikosa hata ndege moja kwa miongo kadhaa,yeye kafufua shirika upya anafikiri kazi rahisi.

Kwa vile Msoga ndo rafiki yake amuulize kwanini alishindwa kununua hata ndege moja kwa miaka 10 pamoja na kutembeza bakuli Ulaya?
Neno moja tu la kusema kwako, UNA MATATIZO YA KIJINSIA!
 
Back
Top Bottom