sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,028
Hili ni pendekezo kwa maoni yangu and i am open to be criticized.
Lengo la muungano lilikuwa ni ndoto ya Nyerere kufanya nchi zote za Africa ziungane iwe nchi moja, na hatua ya kwanza ilikuwa ni muungano na Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya kadri miaka ilivyoenda ikaonekana ni dhairi kabisa mambo yamekuwa mazito kutekeleza hio ndoto kuumganisha Afrika, lakini ikabidi muungano wa Tanganyika na Zanzibar uendelee.
Kwa sasa nadhani kuwepo na sheria inayoweka wazi, madaraka ya uraisi yawe yanapewa mara moja kwa wazanzibar katika vipindi vitatu.
Mifano
raundi ya kwanza...,..
Anaanza msukuma, mzaramo, anamalizia mzanzibar
Raundi ya pili.....
mnyakyusa, mkurya, anamalizia Mzanzibar
Raundi ya tatu......
mhaya, mchaga, anamalizia mzanzibar
Raundi ya nne.......
mdigo, mnyaturu, anamalizia mzanzibar
Piaa hii itumike katika ngazi za vyeo vya kwenye vyeo vizito vya jeshini, mahakamani, ukurugenzi, n.k