Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

Sep 17, 2021
39
84

Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo.

David McAllister, alipotosha kwamba viongozi wengi wa upinzani wamekamwta na kuwekwa katika magereza tofauti tofauti, wakati inafahamika kwamba tangu Rais Samia Samia Suluhu aingie madarakani kesi nyingi zilizokuwa zikipigiwa kelele na vyama vya upinzani zilifutwa ( Septemba 22,2021 Tundu Lissu alifutiwa kesi ya uchochezi, June 28,2021 Mdude Nyangali aliachiwa huru kisha akatoka na kwenda kumtukana Rais hadharani lakini yuko huru hadi leo, bila kusahau kuachiwa huru kwa Mashekhe wa Uamsho ambalo lilikuwa ombi la Wapinzani kwa miaka mingi).

David MacAllister ambaye amekiri kufahamiana na watu kadhaa ndani ya Tanzania, huku kukiwa na ushahidi kwamba Rafiki yake ni Tundu Lissu anayefahamika kwa kutunga uwongo mwingi dhidi ya Tanzania, alijiegemeza katika kesi ya Freeman Mbowe. Alitumia maneno mengi, lakini hiyo pekee ndiyo ilikuw ahoja yake, huku akilazimisha kwamba Rais wa Tanzania akiuke misingi ya Kidemokrasia na kuingilia uhuru wa Mahakama.

Hoja za kubumba za David McAllister ziligonga mwamba baada ya ukweli kuelezwa ndani ya Bunge hilo , baada ya ukweli wa mabo kusemwa.

Mbunge Rita Laranjinha alieleza kwamba, Rasis Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya ndani ya Tanzania katika kipindi kifupi alichoingia madarakani.

Tanzania imepongezwa kwa namna ilivyofaulu kubadilisha uongozi kwa amani na kufuata Katiba kufuatia kifoi cha Hayati Magufuli aliyekuwa Rais.

Lakini pia Bunge la Ulaya limeelezwa kuhusu hatua zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu katika kuimarisha Demokrasia, bila kusahau maamuzi yake ya kukabiliana na janga la Corona kwa njia za kisayansi zinazokubalika duniani kote.

Kung’ara huko kwa Tanzania katika Bunge la Ulaya ni muendelezo wa mema yanayoendelea kuchipua ndani ya Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuifungua nchi kupitia diplomasia, na kulinda misingi ya demokrasia ambapo hivi sasa vyama vya siasa vinaendelea kufanya shughuli zao za ndani kwa uhuru mkubwa.
 
02 December 2021
Brussels, EU

HABARI TOKA
Makao ya Bunge la Ulaya / EP

Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje wa Bunge la ulaya akataa ripoti iliyoonesha matumaini ya mabadiliko ktk utawala wa awamu ya sita

David James McAllister MEP ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge la Ulaya ametoa hotuba nzito na kuwalaumu wataalum wa Umoja wa Ulaya waliotoa ripoti mbele ya kamati hiyo ya Bunge yenye ushawishi mkubwa pamoja na kuaminika kusimamia values / desturi na makubaliano ya kuheshimu haki za binadamu na utawala bora .

Mwenyekiti David James McAllister MEP akakumbushia barua yake aliyoandika kuwaonya wataalamu wa Umoja wa Ulaya EEAS About the European External Action Service (EEAS) mwaka jana mwezi November 2020 kuhusu "kuubeba" utawala dhalimu usiofuata haki za msingi za kibinadamu. Akiwasilisha Ripoti, mmoja wa wataalamu wa EEAS Ms. Rita Laranjinha EEAS: High Representative Josep Borrell announces senior appointments | Press Club Brussels Europe alinukuu taarifa ya EEAS ilisema kuna maendeleo 'makubwa' nchini Tanzania mbali ya changamoto ndogo ndogo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya akakumbushia hicho kinachoitwa 'changamoto ndogo ndogo' kwa hakika ni kikubwa na hakipaswi kutupiliwa mbali ikiwa watu wanakamatwa ovyo, kutupwa mahabusu, kufunguliwa mashtaka, kutishiwa haki ya kuishi n.k mambo ambayo ndiyo msingi mkubwa wanaousimamia Umoja wa Ulaya wakati wa kutoa msaada kwa nchi yoyote ulimwenguni
EEAS - European External Action Service - European Union External Action
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge la Ulaya amesema mfano wataalamu hao je wameweza kukutana ndani ya Tanzania na mwenyekiti wa CHADEMA au makamu mwenyekiti wa CHADEMA? Ambao ni viongozi wa chama kikuu cha upinzani, mmoja akiwa rumande kwa kesi ya kutunga huku mwingine akiwa uhamishoni Belgium halafu wataalamu hao wanasema ni changamoto ndogo ndogo?

Pia kuna raia wanaoshiriki siasa Tanzania wenye mtizamo mbadala walio wanachama, wapenzi na wafadhili wazalendo wa KiTanzania wanabaguliwa kushiriki ktk vyombo vya maamuzi ngazi zote, wanaoozea ktk jela mbalimbali Tanzania au biashara zao kuhujumiwa je hayo ni mambo madogo ? Amehoji David James McAllister mwenyekiti huyo makini wa kamati ya Bunge la ulaya.

Hivyo amewataka wataalamu hao waliotumwa na bunge la Umoja wa Ulaya kuwabebeleza watawala wa Tanzania kuacha ukandamizaji, kujitathmini kama wanataka kulimwa barua nyingine kali ya karipio kuhusu ripoti yao iliyozua maswali mengi ndani ya Bunge la Ulaya na miongoni mwa wabunge wa Bunge hilo la Ulaya mwaka 2020 na vivyo hivyo pia mwaka huu mwezi November 2021 inayojadiliwa na Kamati hiyo ya Bunge la Ulaya.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge la ulaya amewataka wataalamu hao kuja na majibu mujarabu ya kuibana serikali ya Tanzania kwa kuwa inatumia misaada ya Umoja wa Ulaya itokanayo na kodi za raia wa nchi wanachama zinazoamini katika utawala bora, haki za binadamu kulindwa na demokrasia hivyo haiwezekani nchi viongozi wa nchi walio wakandamizaji kama wa Tanzania kufaidi jasho na nguvu wa walipa kodi wa Ulaya wanaoamini katika uhuru, haki na Maendeleo ya kweli ya watu ktk demokrasia inayozingatia utu.

amesema yeye na wajumbe wabunge wa kamati ya mambo ya nje wanajiandaa kupendekeza hatua "kali" dhidi ya utawala unaoendekeza udhalimu waziwazi na kwa kificho.

David James McAllister mwenyekiti wa Kamati Ya Bunge la Ulaya ya Mambo ya Nje anasema mbali na ripoti hiyo ya wataalamu wake pia wanapata habari kupitia balozi za Marekani, Canada , Uingereza na balozi wa nchi wanachama wanaohudhuria kesi namba 16 ya mwaka 2021 ya tuhuma nzito za kupikwa dhidi ya Mbowe na wenzie 3, na kesi hiyo ni kichekesho dhidi ya Umoja wa Ulaya na raia wa wa Umoja wa Ulaya ambao wote wanaamini ktk haki mbele ya sheria, demokrasia na kutokuwepo ugandamizaji wa haki za kibinadamu za aina yoyote.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge anataka kuona wataalamu hao wanakuja na mkakati gani wa kuibana serikali ya Tanzania inapotaka misaada na mikopo, kwani sasa siyo muda tena wa maongezi / dialogue yasiyo na kikomo kuhusu hali hii mbaya ya kisiasa nchini Tanzania, bali ni wakati wa Umoja wa Ulaya kufanya matendo kwani muda wa maneno umekwisha, ili ujumbe uwaingie watawala dhalimu.

Ms Rita LARANJINHA was appointed as Managing Director for Africa. She was previously Ambassador of Portugal to Denmark and Lithuania and also served as Head of Office and Deputy Director for Foreign Policy in the Ministry of Foreign Affairs of Portugal. Ms Rita Laranjihna took up her duties at the EEAS on 1 December 2020 EEAS: High Representative Josep Borrell announces senior appointments | Press Club Brussels Europe AFRICA : European Union: EEAS to appoint new Africa head - 30/10/2020 - Africa Intelligence

David James McAllister political career started in 1998 becoming a Member of the State Parliament of Lower Saxony (until 2014) in Germany. He was also the Mayor of his hometown Bad Bederkesa from 2001-2002, Secretary-General of the CDU in Lower Saxony from 2002-2003, and Chairman of the CDU Group in the State Parliament from 2003-2010. He was Party Chairman of the CDU in Lower Saxony from 2008-2016. He served as Prime Minister of Lower Saxony from 2010 till 2013. Member of the CDU Executive Committee since February 2014. MEP since July 2014. Since November 2014 Vice President of IDU (International Democrat Union). Since October 2015 Vice President of the EPP (European People's Party). In the European Parliament, McAllister is Chair of the Committee on Foreign Affairs, substitute member of the Committee on International Trade and the Sub-Committee on Security and Defence, member of the Delegation for Relations with the USA and the Delegation for Relations with the NATO Parliamentary Assembly and substitute member of the EU-Serbia Stabilisation and Association Parliamentary Committee
 
https://www.sadc.int › news › sadc-a...
SADC and EU commit to strengthen existing cooperation

3 Mar 2021 — The SADC Executive Secretary, Her Excellency Dr. Stergomena Lawrence Tax said this during her virtual meeting with Ms Rita Maria Figueiras Henriques Laranjinha, the new Africa Bureau Director of EEAS.

Dr Tax congratulated Mrs Laranjinha on her appointment as Managing Director for Africa at the EEAS. The Executive Secretary reiterated the good working relations that exist between the SADC Secretariat and the EU Delegation in Botswana and expressed her ....

https://op.europa.eu › person › EEAS
Ms Rita LARANJINHA - EU Whoiswho - Publications Office of ...

Ms Rita LARANJINHA. Director European Union > European External Action Service > Secretariat-General of the EEAS > Service of Deputy Secretary General for .....
 
Umoja wa Ulaya - EU​

02.12.2021

Umoja wa Ulaya ni muungano wa kisiasa na kiuchimu kati ya mataifa 28 yaliyoko hasa katika bara la Ulaya. Jumuiya hiyo ina wakaazi wanaokadiriwa kuwa zaidi ya milioni 508.

Umoja wa Ulaya unaendesha shughuli zake kupitia mfumo wa taasisi zilizo juu ya mataifa na maamuzi yanayofikwia baina ya serikali za mataifa wanachama.

Taasisi hizi ni:
  • Bunge la Ulaya,
  • Baraza la Ulaya,
  • Baraza la Umoja wa Ulaya,
  • Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya,
  • Mahakama ya Haki ya Umoja wa Ulaya,
  • Benki Kuu ya Ulaya na
  • Mahakama ya Ukaguzi.
Bunge la Ulaya linachaguliwa kila baada ya miaka mitano na raia wa Ulaya
Source : Umoja wa Ulaya - EU | DW | 01.12.2021
 
Kumbe Samia amefanikiwa haswa kuinyamazisha Chadema kisiasa na kuwaparanganyisha wapinzani wake ili atawale kwa amani. Usisahau kuwa wote wanaoshitakiwa katika kesi ya ugaidi ni watumishi wa serikali. Mbinu kuu inayotumika ni kushughulika na kesi ndogo katika kesi kuu. Hii ndiyo siasa tukutane 2025!
 
Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo.

David McAllister, alipotosha kwamba viongozi wengi wa upinzani wamekamwta na kuwekwa katika magerteza tofauti tofauti, wakati inafahamika kwamba tangu Rais Samia Samia Suluhu aingie madarakani kesi nyingi zilizokuwa zikipigiwa kelele na vyama vya upinzani zilifutwa ( Septemba 22,2021 Tundu Lissu alifutiwa kesi ya uchochezi, June 28,2021 Mdude Nyangali aliachiwa huru kisha akatoka na kwenda kumtukana Rais hadharani lakini yuko huru hadi leo, bila kusahau kuachiwa huru kwa Mashekhe wa Uamsho ambalo lilikuwa ombi la Wapinzani kwa miaka mingi).

David MacAllister ambaye amekiri kufahamiana na watu kadhaa ndani ya Tanzania, huku kukiwa na ushahidi kwamba Rafiki yake ni Tundu Lissu anayefahamika kwa kutunga uwongo mwingi dhidi ya Tanzania, alijiegemeza katika kesi ya Freeman Mbowe. Alitumia maneno mengi, lakini hiyo pekee ndiyo ilikuw ahoja yake, huku akilazimisha kwamba Rais wa Tanzania akiuke misingi ya Kidemokrasia na kuingilia uhuru wa Mahakama.

Hoja za kubumba za David McAllister ziligonga mwamba baada ya ukweli kuelezwa ndani ya Bunge hilo , baada ya ukweli wa mabo kusemwa.

Mbunge Rita Laranjinha alieleza kwamba, Rasis Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya ndani ya Tanzania katika kipindi kifupi alichoingia madarakani.

Tanzania imepongezwa kwa namna ilivyofaulu kubadilisha uongozi kwa amani na kufuata Katiba kufuatia kifoi cha Hayati Magufuli aliyekuwa Rais.

Lakini pia Bunge la Ulaya limeelezwa kuhusu hatua zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu katika kuimarisha Demokrasia, bila kusahau maamuzi yake ya kukabiliana na janga la Corona kwa njia za kisayansi zinazokubalika duniani kote.

Kung’ara huko kwa Tanzania katika Bunge la Ulaya ni muendelezo wa mema yanayoendelea kuchipua ndani ya Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuifungua nchi kupitia diplomasia, na kulinda misingi ya demokrasia ambapo hivi sasa vyama vya siasa vinaendelea kufanya shughuli zao za ndani kwa uhuru mkubwa.
 
Wakoloni bana. Yaani etu mambo ya Tanzania yanawahusu watu wa Ulaya, kama siyo hangover ya ukoloni kwamba aliyewahi kuwa mtumwa wako atabaki mtumwa wako milele, ni kitu gani hiki?

Sema tu kuna mitanzania kibao ambayo raha yao ni kuolewaolewa na mkoloni tu basi.
 
Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo.

David McAllister, alipotosha kwamba viongozi wengi wa upinzani wamekamwta na kuwekwa katika magerteza tofauti tofauti, wakati inafahamika kwamba tangu Rais Samia Samia Suluhu aingie madarakani kesi nyingi zilizokuwa zikipigiwa kelele na vyama vya upinzani zilifutwa ( Septemba 22,2021 Tundu Lissu alifutiwa kesi ya uchochezi, June 28,2021 Mdude Nyangali aliachiwa huru kisha akatoka na kwenda kumtukana Rais hadharani lakini yuko huru hadi leo, bila kusahau kuachiwa huru kwa Mashekhe wa Uamsho ambalo lilikuwa ombi la Wapinzani kwa miaka mingi).

David MacAllister ambaye amekiri kufahamiana na watu kadhaa ndani ya Tanzania, huku kukiwa na ushahidi kwamba Rafiki yake ni Tundu Lissu anayefahamika kwa kutunga uwongo mwingi dhidi ya Tanzania, alijiegemeza katika kesi ya Freeman Mbowe. Alitumia maneno mengi, lakini hiyo pekee ndiyo ilikuw ahoja yake, huku akilazimisha kwamba Rais wa Tanzania akiuke misingi ya Kidemokrasia na kuingilia uhuru wa Mahakama.

Hoja za kubumba za David McAllister ziligonga mwamba baada ya ukweli kuelezwa ndani ya Bunge hilo , baada ya ukweli wa mabo kusemwa.

Mbunge Rita Laranjinha alieleza kwamba, Rasis Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya ndani ya Tanzania katika kipindi kifupi alichoingia madarakani.

Tanzania imepongezwa kwa namna ilivyofaulu kubadilisha uongozi kwa amani na kufuata Katiba kufuatia kifoi cha Hayati Magufuli aliyekuwa Rais.

Lakini pia Bunge la Ulaya limeelezwa kuhusu hatua zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu katika kuimarisha Demokrasia, bila kusahau maamuzi yake ya kukabiliana na janga la Corona kwa njia za kisayansi zinazokubalika duniani kote.

Kung’ara huko kwa Tanzania katika Bunge la Ulaya ni muendelezo wa mema yanayoendelea kuchipua ndani ya Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuifungua nchi kupitia diplomasia, na kulinda misingi ya demokrasia ambapo hivi sasa vyama vya siasa vinaendelea kufanya shughuli zao za ndani kwa uhuru mkubwa.
Labda ulaya ya nungwi huko zanzibar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom