Kuwa kiongozi Tanzania ni kujitoa sadaka ya maisha yako kwaajili ya kukamilisha miradi lakini vikwako ni vingi sana

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,326
8,239
Kuwa kiongozi Tanzania ni kujitoa sadaka ya maisha yako watu hawapendi maendeleo.

Vikwazo hivi hapa.
Matajiri wala rushwa
Matajiri wauza madawa ya kulevya
Matajiri wakwepa kodi
Wanasiasa wala rushwa
Wanasiasa wakwepa kodi
Wanasiasa wahujumu uchumi
Wanasiasa wauza madawa ya kulevya
Wanasiasa wanaojilimbikizia mali
Wanasiasa wanaoiba mali na rasilimali za nchi.
Mafisadi
Wanasiasa wanaofanya biashara kupitia mgongo wa serikali
Wanasiasa ambao biashara zao hazilipi kodi wala kuzingatia kanuni za ufanyaji wa biashara nchini.

Unaweza kuongezea
Karibu
 
Back
Top Bottom