Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,188
- 1,912
Kwanini huyu mama yetu mpendwa samia analalamika tu bila kuchukua hatua?
Wananchi wanapenda kuona Rais mwenye uwezo wa kutumia Mamlaka tuliyompa.
Yaani watu milioni sitini wa nchi hii, wote kwa pamoja tumekukabidhi wewe mamlaka yote lakini bado unalia lia tu kama mtu mwingine wa kawaida?
Wamachinga wanabomolewa vibanda unalia! Ati sikuagiza wabomoe nahujumiwa!
Ufisadi bandarini huchukui hatua! Ati kuna watu wanakuhujumu!
Ukiletewa kero za wananchi unaishia tu kusema "HILI TUNALICHUKUA TUTALIFANYIA KAZI".
Wananchi hawapendi uzembe uzembe. Wanahitaji Kiongozi anayechukua hatua za makusudi kutatua changamoto na kuendesha nchi!
Mara ooooh tunaunda tume, tutaangalia, tuko kwenye mkakati kabambe, sijui upembuzi... mara nahujumiwa....
Utalia mpaka lini? Mimi nafikiri ni wakati sasa mama yetu akumbushwe kwamba yeye ndio Rais wa nchi.
Vinginevyo tuamini kwamba amenyang'anywa mamlaka yake na watu tusiowajua!