Je, Tutegemee tena kilio kwenye ufunguzi wa barabara ya Morroco-Mwenge

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Leo Kuna Ufunguzi Wa Barabara ya Mwenge To Morocco.

Mgeni Rasmi ni Chief Hangaya, Kuanzia Mida Ya Sa1 Asubuhi.

Je, Tutegemee Kile Kilio Cha Jana Kule TPA Kiendelee?

Je, Hata Wajumbe Wa Bodi Ya Tanroad Pia Wataliwa Kichwa.

Kumbuka Wenyeviti wa Bodi Zote Mbili Waliotumbuliwa ni Wakatoriki.

Kula Mtori Nyama Ziko Chini.
 
Wakuu Leo Kuna Ufunguzi Wa Barabara ya Mwenge To Morocco.

Mgeni Rasmi ni Chief Hangaya, Kuanzia Mida Ya Sa1 Asubuhi.

Je Tutegemee Kile Kilio Cha Jana Kule TPA Kiendelee?

Je Hata Wajumbe Wa Bodi Ya Tanroad Pia Wataliwa Kichwa.

Kumbuka Wenyeviti wa Bodi Zote Mbili Waliotumbuliwa ni Wakatoriki.

Kula Mtori Nyama Ziko Chin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kumbukizi yako haina miguu ya kusimamia.
 
Wakuu Leo Kuna Ufunguzi Wa Barabara ya Mwenge To Morocco.

Mgeni Rasmi ni Chief Hangaya, Kuanzia Mida Ya Sa1 Asubuhi.

Je Tutegemee Kile Kilio Cha Jana Kule TPA Kiendelee?

Je Hata Wajumbe Wa Bodi Ya Tanroad Pia Wataliwa Kichwa.

Kumbuka Wenyeviti wa Bodi Zote Mbili Waliotumbuliwa ni Wakatoriki.

Kula Mtori Nyama Ziko Chin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wakatoliki wakifanya madudu waachwe kwa sababu ya imani Yao? Akili gani hii?
Mstuharibie imani. Wakatoliki hatupendi mediocrity.
 
Wakuu Leo Kuna Ufunguzi Wa Barabara ya Mwenge To Morocco.

Mgeni Rasmi ni Chief Hangaya, Kuanzia Mida Ya Sa1 Asubuhi.

Je Tutegemee Kile Kilio Cha Jana Kule TPA Kiendelee?

Je Hata Wajumbe Wa Bodi Ya Tanroad Pia Wataliwa Kichwa.

Kumbuka Wenyeviti wa Bodi Zote Mbili Waliotumbuliwa ni Wakatoriki.

Kula Mtori Nyama Ziko Chin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta namna ya kuwaweka kwenye ulaji waumin wenzake
 
achana na biashara ya ukatoriki, issue ni upigaji, nani asiyejua pale bandarini kuna upigaji uliopitiliza wa mchanamchana.... Kama Tanroad nako kuna upigaji fukuza..

Tena hizi adhabu ni ndogi sana, leo wote wanapaswa kulala mahabusu keko na kesho j3 kisutu...

Ushauri: Hizi bodi zote ziwe na watu wa dini mchanganyiko kusiwe na zaidi ya wakurugenzi wawili wa dini moja...weka hata wahindu.. Kusiwe na wakurugenzi zaidi ya wawili wa kabila moja ( tuna makabila mengi sana)...Kuwe na kijana mmoja msomi wa age ya 35yrs...vijana wajifunze ili tupunguze idadi ya wazee wazembe wazembe..
 
DG wa Bandari Ni Mr. Hamis(Bakwata)
 
hakuna suala la kuangalia dini wala usoni kama anazingua hatoshi naye FUKUZA, kama mpigaji peleka keko na kisutu faster...hivi ndio hili Taifa litakwenda...
Leo Hangaya Analalamika kwamba awamu yake Haina ufisadi na anatupiwa Mzigo, Wakati Mkataba wa kampuni ya Uturuki, YÜTEK iliyoshinda tenda kujenga meli tano za abiria na mizigo, Dau Lenye thamani ya Sh bilioni 438.8 lilisainiwa mjini Mwanza Jun. 15, 2021 nakushuhudiwa na Yeye Hangaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Leo Kuna Ufunguzi Wa Barabara ya Mwenge To Morocco.

Mgeni Rasmi ni Chief Hangaya, Kuanzia Mida Ya Sa1 Asubuhi.

Je Tutegemee Kile Kilio Cha Jana Kule TPA Kiendelee?

Je Hata Wajumbe Wa Bodi Ya Tanroad Pia Wataliwa Kichwa.

Kumbuka Wenyeviti wa Bodi Zote Mbili Waliotumbuliwa ni Wakatoriki.

Kula Mtori Nyama Ziko Chin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lialia FC tutawakilisha 😂😂😂😂
 
kwaiyo kwakuwa wakatoliki Wala nguruwe wasitumbuliwe??

ndiomaana wenye akili tushajua kuwa mnamchukia Samia sababu ya dini yake, ingekuwa amri yenu mlitaka Nchi iongozwe na mkristo ili itamalaki utawala wa Roho mbaya na ufisadi,

Nchi akiongoza muislamu inatulia na watu wanakuwa na amani ya moyoni hata wasipokuwa na fedha,,

#Acheni udini, Tanzania ni ya Watanzania wote,isifike wakati dini au kabila Fulani ikajiona yenyewe ndio Bora zaidi ktk kuongoza
 
achana na biashara ya ukatoriki, issue ni upigaji, nani asiyejua pale bandarini kuna upigaji uliopitiliza wa mchanamchana.... Kama Tanroad nako kuna upigaji fukuza..

Tena hizi adhabu ni ndogi sana, leo wote wanapaswa kulala mahabusu keko na kesho j3 kisutu...

Ushauri: Hizi bodi zote ziwe na watu wa dini mchanganyiko kusiwe na zaidi ya wakurugenzi wawili wa dini moja...weka hata wahindu.. Kusiwe na wakurugenzi zaidi ya wawili wa kabila moja ( tuna makabila mengi sana)...Kuwe na kijana mmoja msomi wa age ya 35yrs...vijana wajifunze ili tupunguze idadi ya wazee wazembe wazembe..
Usijesahau kuwa kwenye vijana kuna akina 'Sabaya' au DAB
 
Back
Top Bottom