Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?
Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm imegawanyika na upinzani tukitulia 2025 tutapata nguvu kubwa. Je huu mpasuko utatubeba 2025?