Rais Samia: Rais ni Taasisi lakini inaongozwa na mtu hivyo tunamshukuru hayati Magufuli kwa miradi mingi aliyotuachia, Mungu amlaze peponi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,924
141,891
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze mahali pema peponi.

Rais Samia amewataka wananchi kulinda miundo mbinu inayojengwa kwani inaligharimu taifa fedha nyingi

Dominica njema!

Chanzo: ITV
 
Jina la Magufuli litaendelea kutajwa ndani na nje ya Tanzania tangu lilipoingia kwenye nafasi ya urais mpaka vizazi na vizazi.

Jina la Magufuli ndo linaweza kuwa ndo jina linalo ongoza kutajwa mitaani na mitandaoni kuliko jina la rais yeyote yule kuwahi kutokea Tanzania Alie hai au aliekufa.

A man is the legend and legend never die
 
Correct 100%
 
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze mahali pema peponi.

Rais Samia amewataka wananchi kulinda miundo mbinu inayojengwa kwani inaligharimu taifa fedha nyingi

Source: ITV
Huyu naye anaboa na hotuba zake za kujishukushuku
 
Jina la Magufuli litaendelea kutajwa ndani na nje ya Tanzania tangu lilipoingia kwenye nafasi ya urais mpaka vizazi na vizazi.

Jina la Magufuli ndo linaweza kuwa ndo jina linalo ongoza kutajwa mitaani na mitandaoni kuliko jina la rais yeyote yule kuwahi kutokea Tanzania Alie hai au aliekufa.

A man is the legend and legend never

hivyo ni kawaida magufuli kutajwa maana kifo kama chake hakijawahi tokea tanzania
Ni mtu wa kawaida
 
Jana usiku wa manane nimeota ndoto kuwa Mungu huwa hana tabia ya kulaza mashetani mahali pema peponi😁😁😁

20211203_191444_temp.jpg
 
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze mahali pema peponi.

Rais Samia amewataka wananchi kulinda miundo mbinu inayojengwa kwani inaligharimu taifa fedha nyingi

Source: ITV
SSH Anakosea sana anapomsema vibaya Hayati.

Hayati aliungwa mkono na watu duni wengii (Japo siyo wote).

kumsiliba hayati vibaya ni kutafuta chuki kwa watu wa chini waliokuwa wanamuunga mkono ambao ndiyo wengi Kimsingi (Huu ukweli mchungu).

SSH kuna mahali Anakosea, nitamshauri kitu siku 1.

ila ni bora ajue kula na kipofu au akae tu kimya asimseme wala kumuongelea hayati kwa lolote lile iwe vijembe au laah.
. hiyo itakuwa pona yake.
 
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze mahali pema peponi.

Rais Samia amewataka wananchi kulinda miundo mbinu inayojengwa kwani inaligharimu taifa fedha nyingi

Source: ITV
Magufuli is a legendary
 
Jina la Magufuli litaendelea kutajwa ndani na nje ya Tanzania tangu lilipoingia kwenye nafasi ya urais mpaka vizazi na vizazi.

Jina la Magufuli ndo linaweza kuwa ndo jina linalo ongoza kutajwa mitaani na mitandaoni kuliko jina la rais yeyote yule kuwahi kutokea Tanzania Alie hai au aliekufa.

A man is the legend and legend never die
Come back afte 1 year huta sikia chochote, he is gone kubalini.
 
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze mahali pema peponi.

Rais Samia amewataka wananchi kulinda miundo mbinu inayojengwa kwani inaligharimu taifa fedha nyingi

Source: ITV
Huu uzi ,mahasimu wa hayati Magufuli wanapita kama kituo cha polisi, na wanajuta kwanini Rais Samia kasema hayo maneno, kifupi kawaharibia siku
 
Imepta miez ngap kwan... kuna hata dalili ya kuisha... labda kama hujui kwa jinsi la Baba wa taifa linavyotumika kutafuta kura ndivyo hivyo hivyo itakavyokuwa kwa Magufuli
Labda kwenye majukwaa ya siasa huku mtaani ni tuna hustle kupata pesa ya kula kesho
 
Back
Top Bottom