Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru zilizokuwa zifanyike December 2015 zikapanue barabara ya Morocco-Mwenge kufikia njia 5.
Pesa za maadhimisho ya sherehe za uhuru 2015 zaidi ya shs. 4bn, serikali ya CCM tuelezeni zilienda wapi kama Japan walitotoa Shs. 71.8bn.
Hizo fedha alizoagiza Magufuli kuwa zikatanue barabara hii zilienda wapi?!
Hii ina maana huenda hata fedha nyingine zilizokuwa zinatokana na kutokufanyika shughuli nyingine za kitaifa kama vile nanenane na kadhalika zilikuwa zinafanyiwa ufisadi pia.
Muda ni mwalimu mzuri sana katika kuumbua.Naamini muda unavyozidi kwenda tutazidi kugundua ufisadi zaidi uliofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano pamoja na awamu hii ya sita.
Lakini pia cha kushangaza zaidi ni kwamba barabara hiyo yenye urefu wa km 4.3 tu sasa hivi imekuja kujengwa kwa gharama ya TZS 71.85 billion.
Ni vyema sasa CCM wakiri wenyewe kwa vinywa vyao kuwa wameshindwa kuongoza nchi hii na wakae pembeni bila shuruti.