Ikitokea Uchaguzi wa Urais Wagombea Wakawa Kikwete, Mkapa, Lissu na Magufuli. Nani utampa kura yako?

Janken jr

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
1,125
1,177
Tumeshuhudia Uchaguzi Mkuu Uliopita Mwaka Huu Uko Nchini Malaysia Ukimurejesha Madarakani Waziri Mkuu Msaafu Mudathir Mohamed Role Model Wa Mh.Zitto Kabwe Kupitia Chama Cha Upinzani Kwa Kukishinda Chama Chake Cha Zaman Na Alikuwa Mrithi Wake Kwa Kishindo.Kwa Mara Ya Kwanza Aliingia Madarakani Mwaka 1981 Na Kustaafu Mwaka 2003 Akiipaisha Nchi Yake Kiuchumi.Lakin Baada Ya Miaka Karibu Kumi Na Tano Anarud Madarakan Kupitia Chama Kipya Cha Upinzan.
Je.Katika Uchaguzi Mkuu Ujao Hapa Kwetu Ikatokea Wagombea Wakawa Wafuatao Kupitia Vyama Mbalimbali, Nani Utampa Kura Yako?
1.Mh.Benjamin Mkapa
2.Mh.Edward Lowasa
3.Mh.Jakaya Kikwete
4.Mh.John Magufuli
5.Mh.Tundu Lissu
6.Mh.Zitto Kabwe
7.Mh.Ibrahim Lipumba
8.Mh.Samia Suruhu
9.Mh.John M. Cheyo
10.Mh.F.Dovutwa
11.Mh.Mark J.Mwandosya
Nani Ungempa Kura Yako Na Kwa Nini?
 
Last edited:
Tumeshuhudia Uchaguzi Mkuu Uliopita Mwaka Huu Uko Nchini Malaysia Ukimurejesha Madarakani Waziri Mkuu Msaafu Mudathir Mohamed Role Model Wa Mh.Zitto Kabwe Madarakani Kupitia Chama Cha Upinzani Kwa Kukishinda Chama Chake Cha Zaman Na Alikuwa Mrithi Wake Kwa Kishindo.Kwa Mara Ya Kwanza Aliingia Madarakani Mwaka 1981 Na Kustaafu Mwaka 2003 Akiipaisha Nchi Yake Kiuchumi.Lakin Baada Ya Miaka Karibu Kumi Na Tano Anarud Madarakan Kupitia Chama Kipya Cha Upinzan.
Je.Katika Uchaguzi Mkuu Ujao Hapa Kwetu Ikatokea Wagombea Wakawa Wafuatao Kupitia Vyama Mbalimbali, Nani Utampa Kura Yako?
1.Mh.Benjamin Mkapa
2.Mh.Edward Lowasa
3.Mh.Jakaya Kikwete
4.Mh.John Magufuli
5.Mh.Tundu Lissu
6.Mh.Zitto Kabwe
7.Mh.Ibrahim Lipumba
8.Mh.Samia Suruhu
Nani Ungempa Kura Yako Na Kwa Nini?
weka poll ndiyo itanoga.
 
Kwa Kawaida Mpiga Kura Makini Anaetambua Haki Zake Za Kiraia Na Wajibu Wake Wakiraia Hapigi Kura Kwa Kuangalia Kwanza Ubora Wa Tume Au Uhuru Wa Tume N.K Bali Hujali Dhamili Yake Inayosukumwa Na Utajiri Wa Elimu Yake Ya Uraia,sera .Mipango Ya Chama(ilan Ya Uchaguz/mgombea ,wasifu Wa Mgombea Na Uzalendo Wake Mpiga Kura,haya Ni Kwa Mujibu Wa Mtazamo Wangu.
 
Back
Top Bottom