Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Mwezi uliopita baada taifa letu kupata taarifa kuwa kuna upungufu wa umeme kiasi cha Mw 345 taifa letu liliwekwa tayari kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme kwa njia mbadala badala ya maji.
Kila Mtanzania alijua wazi kuwa sasa mambo ya IPTL, Dowans na Richmond yanarudi na waTz walishajua wakati wa kupigwa kumerudi.
Kwa sasa hali ya mgao wa umeme imepungua na kila mtu anajiuliza hii mvua iliyonyesha hapa juzi kati ndio imejaza mabwawa ya kuzalisha umeme?
Au waliotaka kutupiga wameona aibu baada ya kelele nyingi za watanzania wazalendo!