Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Maana hizi sherehe kubeba jina la Uhuru wa Tanzania huwa ni batili waandalizi inafaa wafunguliwe mashtaka kwa kutumia Jina la Tanzania kuchota hela na kusheherekea Uhuru wa nchi ambayo ilishafutwa...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Chifu Jacob Kileo anasimikwa kuwa Mangi mkuu wa Siha siku ya tarehe 17/12/2021. Tukio hilo litashuhudiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Wakuu wote wa wilaya za Kilimanjaro, Mkuu wa KKKT askofu...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Kama ntakua sahihi Kwa takilibani miaka miwili au nitatu iliyopita CCM ilibadilisha baadhi ya kanunu za uchaguzi ndani ya chama lengo likiwa ni kumuepusha JPM na upinzani wa akina Benard...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
#NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph...
9 Reactions
94 Replies
8K Views
Tunakumbushana tu kwamba hata mawaziri wawili Yona na Mramba waliwahi kufungwa jela zama za awamu ya 4. Hivyo lolote likitokea kwa Freeman Mbowe hakutakuwa na jipya! Sabato njema!
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Mh. Mbatia analiona jumba bovu: Siyo siri wanaomtakia Mama mema, maoni yao si tofauti na haya.
12 Reactions
86 Replies
6K Views
Sijui nini kinaenda kuongelewa hapo baada na Mh Polepole lakini kiuhalisia Polepole kwake siasa ni itikadi sio sehem yakutafutia shibe yake, Humphrey Polepole kwa itikadi yake sio rahisi kufanya...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kirua Vunjo Kusini. Koresa. Tarehe 10/12/2021. Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe. Dkt. Charles Kimei amekutana na Wazee mashuhuri kutoka Kata ya Kirua Vunjo Kusini waliomualika kuzungumza nao. Wazee...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Uwongo unaanzia pale wanapo changanya picha halisi na sauti ili watushawishi kuwa ni sauti za Nape na Kinana. Kama zingekuwa sauti zao wasingekuwa na haja ya kutuwekea picha kwa kuwa...
33 Reactions
112 Replies
10K Views
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda. Na Kagame kufanya...
12 Reactions
97 Replies
16K Views
Yes I declare interest Mimi nilikua chadema, uchaguzi wa 2015 niligombana na watu wangu wa karibu because nilikua naipenda chadema na nilitaka ishinde, 2020 niligombana na mke wangu because of...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Summit for Democracy: Invited Participants Albania Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Bahamas Barbados Belgium Belize Botswana Brazil Bulgaria Cabo Verde Canada Chile...
17 Reactions
152 Replies
13K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la Muleba Prof Anna Tubaijuka amesema tatizo la machinga halitaisha kwa kutoa amri na kuwafukuza mbali bunge linatakiwa kukaa na kutunga sheria yenye adhabu kwa wateja...
4 Reactions
92 Replies
7K Views
Mh Raisi J. Kikwete anategemewa kutangaza rasmi Arusha kuwa jiji. Jambo lililonishtua ni kwamba tamko hilo litafanywa rasmi kwa kukata utepe pale mnara wa mwenge kulikofanyika uzinduzi wa...
2 Reactions
53 Replies
14K Views
Rais John Pombe Magufuli amefutilia mbali sherehe za uhuru zinazoazimishwa kila mwaka. Sherehe hizi ni moja ya sherehe zinazotumia hela nyingi na maonesho ya kijinga kama kuvunja mawe kwa vichwa...
13 Reactions
826 Replies
100K Views
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Mkoa wa Arusha zinasema Mbunge wa Jimbo la Monduli Juliasi Kalanga kuhamia CCM kesho majira ya saa nne asubuhi. ====== UPDATES; 00:15HRS Aliyekuwa mbunge wa...
27 Reactions
475 Replies
80K Views
Kuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu; 1. Ni mropokaji kwa kuwa anapoongea hajali kadamnasi imayomsikia. Matusi ya nguoni ndiyo lugha...
64 Reactions
136 Replies
16K Views
Rais Uhuru amekubali ombi la Rais Samia la kutupatia majike ya Faru ili yaweze kuolewa na madume mawili ya Faru yaliyoko katika mbuga za Serengeti. Source: ITV habari
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom