Dk Philip Mpango: Leo nimefanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Mohamed Shein

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.

IMG_20211210_195723.jpg
 
Huwezi ukakaa kwenye oxygen concentrator machine kwa mwezi mzima ukabaki salama kwenye mapafu. The dude is sick. Mark this post
 
Hiki cheo sijui kina nini? Hata uwe mchapa kazi kweli kweli ukikipata unakuwa upo upo tu!
Hicho cheo ni ceremonial, na wajibu wake mkuu ni 'kumsaidia rais' ktk shughuli zake. Rais akifanya shughuli zake mwenyewe basi makamu anakuwa yupo yupo tu. Kwa hiyo hatuwezi kumlaumu Dr Mpango. Tunamjua ni mchapakazi mzuri kwa kazi aliyofanya akiwa waziri wa fedha.
 
Sio Dodoma , ila KWa hili la makao makuu Dom , pamoja na mapungufu ya mwendazake KWa hili la makao makuu Dom kawapiga gepu kubwa Yani ,KILA siku mpo dar , hivi shida nini mzee Mpango ,jibu hapa ,mwenye nchi naongea sasa
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Huenda anaugulia ndani
Hajawa Philip Mpango wa kabla ya COVID-19.
Itakuwa imemwachia alama ya kudumu.

Au pengine hicho cheo alichopewa kimemweka ndani ya boksi sana, kiasi kwamba hawezi kuonyesha uwezo wake sahihi. Hii itakuwa imemmaliza sana kisiasa.

Ni nani aliwahi kuwa Makamu wa Rais toka Bara, halafu akashamiri zaidi baada ya hapo!
 
VP kinakufanya uwezo tu bila LOU is kueleweka ndio maana Mpango anaonekana anapwaya pwaya tuuu
 
Naomba kuuliza, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, na Karibu Mkuu.. makaazi yao huwa ni uraiani au ni Ikulu pia?
 
Back
Top Bottom