Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi.
Iwapo anahisi the so called Godfather...
wakuu,
Taarifa zilizotufikia humu jamvini ni JK (mwenyekiti wa CCM) Kulalamika kuwa CCM kuendelea kutegemea wafadhili matajiri ni kuhatarisha uhuru wa chama. Maswali ya kujiuliza hapa ni kuwa...
Ukiangalia mambo simple sana mfano tu mdogo kwamba sisi tunajipendekeza zaidi, Dar kuna Barabara ya Kenyata, inaitwa Kenyata drive ni kwa wadosi huko ni moja kati ya barabara bora muhimu kabisa...
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya...
Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati ya 64
Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mgeni wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Kenya...
Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo...
Sisi ni nchi huru, hii ilikuwa ni nafasi ya Upinzani kuongelea matatizo ya wananchi ambayo Serikali haiyapi umuhimu ndiyo kazi ya Upinzani lkn bado (upinzani) wanadili na Magufuli (RIP) tu, sasa...
Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA...
Najua kuna watu watasema haya ndiyo mambo ya kumkebehi rais tusiyoyapenda.
Lakini ukweli ni kwamba,kama alivyosema jana Erythrocite hakuna mfungwa aliyesamehewa katika hii sherehe.
Kusamehe...
Dear Mama @SuluhuSamia naambiwa watu wanatorosha madini kama "hakuna kesho." Na wala hakuna usiri kwenye wizi huo. Mamlaka husika zinafahamu kinachoendelea lakini ndo hivyo, sekta ya madini...
UPINZANI, WANAHARAKATI; HAMJAHODHI UJUAJI NA UHURU WA KUJIELEZA
Katika maisha ya binadamu, moja ya haki ya msingi kabisa ya kiasili "natural right" ni kumpa binadamu uhuru wa kusema mbele ya...
Kibanda anamuuliza Rais Mwinyi kuhusu teuzi zinazoegemea Urafiki, Undugu na Uzanzibari na Uzanzibara.
Pili anamuuliza kwanini Mtanganyika hana haki ya kumiliki ardhi Zanzibar.
Tatu, Je chaguzi...
Hii kauli inashika kasi sana, ilivuma kipindi cha Mwendazake lakini naona kama kuna watu wanakazana sana kuirudisha. Tunaweza kuona ni kauli ya kawaida lakini ina uzito sana. Ukisema "Rais katoa"...
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani...
Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa...
Hivi ni kweli Rais Samia anaassume madaraka aliyoyaacha hayati Magufuli aliyechaguliwa 2020.
Nimemsikia Polepole akisema tumuache Rais Samia achape kazi hadi atakapomaliza muhula wake 2025.
Huu...
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Pima, kupitia afisa habari wake Mary Mwita, amekuwa mtu wa kwanza kuwawekea vikwazo waandishi wa habari kwa kuwazuia wasirekodi kitu chochote katika baraza la...
Serikali ya Zanzibar imesema itawaboreshea mazingira ya kufanya biashara Wamachinga ili kuwapa ustawi badala ya kuwaacha wakihangaika mitaani.
Rais Mwinyi amesema kuna mgao wa Wamachinga kwenye...
Na sipendi kusema maneno mengi kwa kweli kwa sababu unajua pia unapofundishwa adabu vizuri ni vizuri ukaipata by suprise!
Ukasema eeh ndo imekuwa hivyo?!...Aah Ndio imekuwa hivyo mjomba...imeisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.