Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dunia hadaa ulimwengu shujaa, Humphrey na kundi lake la mwendazake walikuwa na mkakati maalum wa kuua mashirika yanayopigania haki za binadamu, walifikia hata kufunga akaunti zao, kesho kaomba...
41 Reactions
93 Replies
8K Views
Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi amesema jeshi lake limemkamata kijana aitwae Hamza Josia kwa makosa ya ujangili. Hamza amekutwa na meno mawili ya tembo yenye uzito wa kilo 4 Source: Eatv habari
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na...
15 Reactions
40 Replies
6K Views
Kwa kushirikiana na waziri wa elimu waziri Ummy Mwalimu aliagiza shule zote zifungwe na wanafunzi wote warudi nyumbani, wapumzike. Lakini kumekuwa na ubishi wa kimyakimya na baadhi ya shuke...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Akihojiwa clouds Humphrey polepole amesema wapinzani Ni sawa Corona. Kauli hii ya kiongozi kijana inaweza tafsiriwa Kama kauli ya kiongozi aliyepoteza dira na ambaye kwake maisha ya watu wasio...
13 Reactions
362 Replies
38K Views
Leo wigo wa siasa nchini utaandika ukurasa mwingine kwa ujio wa chama kipya. Ni chama kilichoasisiwa na Ndugu Humphrey Polepole, ambaye si siku nyingi alikuwa mwanachama wa CCM, na kwa kweli si...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kauli ambayo ameitamka waziwazi bila kificho NAPE MOSSES, MBUNGE WA MTAMA. Kwa hali hiyo na maana pana ni kwamba hii nchi imepo mikononi mwao hakuna wa kutoa...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo...
11 Reactions
60 Replies
5K Views
Wote walikuwa na viburi wakiwa wasemaji wa Chama. NapeaNnauye alipokuwa Katibu Mwenezi wapinzani wake binafsi na waliokuwa nje ya mstari wa Mwenyekiti, hususani Lowasa walikiona cha moto...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Pichani amenukuriwa akiiongelea tena vita hii tuliyokuwa tunaanza kuisahau: Ikumbukwe kinara wa vita hii alikuwa hayati Magufuli. Bila shaka safari hii hatutaachana gizani, bali tutafikia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Unajua huu mradi unapigwa vita sana, why?Naona hadi kina nape na makamba hawakubali huu mradi ila ndo basi tena Huu mradi unapigwa vita sana hadi na watu wa upinzani kwanini? Nashindwa kuelewa...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Labda kwa vijana waliozaliwa majuzi hawawezi kujua hii fact. Huko nyuma CCM ilikuwa ni mali ya umma. Ilimilikiwa na wakulima na wafanyakazi kwa manufaa ya taifa letu. Uongozi ndani ya CCM...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni miaka 60 sasa tangu Taifa letu pendwa kujipatia uhuru wake toka kwa watu wasiostaarabika wa zamani hizo. Leo hii tunapoadhimisha miongo 6 ya uhuru, umoja, amani na mshikamano kuna watu wazima...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
CCM wakiacha Polepole akaendelea kutamba kwa ujasiri na msimamo alionao basi hakika itameguka kipande kikubwa maana nguvu ya upinzani inamega hapa na wanamuacha Polepole anamega kule KAZI IENDELEE.
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Huu ushauri wangu hauhusishi wanasiasa njaa/ Wanasiasa Maslahi, bali wanasiasa kweli wenye uchungu na nchi yao. Waliopo kwenye siasa kwa dhumuni la kuleta itikadi mbadala inayoenda kuleta...
14 Reactions
82 Replies
6K Views
Benito Amilcare Andrea Mussolini alizaliwa mwaka 1883 na kufariki mwaka 1945. Mwanzoni alikuwa ni mwanamapinduzi ya kijamaa. Nchi ya Italia ilipoingia kwenye mgogoro wa kisiasa mwaka 1922...
7 Reactions
16 Replies
49K Views
leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar uliopatikana tarehe 10 December 1963. Hivi CCM wanafaidika na nini kuendelea kuhubiri uwongo na kutokubali kuutambua? Happy Independence Day
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbunge wa mtama, Mh Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter, amepost ujumbe huu hapo chini. Je kiroboto anayezungumzwa na Mh. Nape ni nani?
16 Reactions
100 Replies
18K Views
Huyu ni mtu mwenye kisasi na roho ngumu sana.Amekunywa damu ya mwana wa Saa8 na yule "SHIHATA" wa Kibiti.Hii imekuwa tabia yake,hajatosheka na kiwango cha bilauli za damu alizokwisha chota na...
159 Reactions
169 Replies
23K Views
Back
Top Bottom