Kutangazwa Arusha kuwa jiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutangazwa Arusha kuwa jiji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mndokanyi, Oct 31, 2012.

 1. M

  Mndokanyi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh Raisi J. Kikwete anategemewa kutangaza rasmi Arusha kuwa jiji. Jambo lililonishtua ni kwamba tamko hilo litafanywa rasmi kwa kukata utepe pale mnara wa mwenge kulikofanyika uzinduzi wa Azimio la Arusha.Sasa ndugu JF baada ya uzinduzi huo,mnara huu utakuwa na kumbukumbu ya kitu gani?!,Azimio la Arusha au kumbukumbu ya Arusha kutangazwa kuwa jiji?!
   
 2. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Utaendelea kuitwa mnara wa mwenge.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Arusha inakuwa jiji kwa mara ya pili? Mkapa ndiye aliyepandisha hadhi Arusha na kuwa jiji (more than 7 yrs ago).
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Sijui ni criteria gani zinatumika kuuita mji jiji huko Tanzania. Manake hata kamji ninachoishi tuko wachache lakini kanaitwa Garden city, Kule Long island. Miji na vijiji vyote bongo ni majiji
   
 5. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Arusha ilishakuwa jiji hata kabla ya mbeya.
   
 6. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,365
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Wakati wa mkapa wanasema kuna vigezo ilikuwa haijakidhi.
   
 7. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Anyway,kwanini kwa Arusha imekuwa so special? Mbeya,Tanga,Mwanza ilikuwa hivi? Politics?
   
 8. K

  Katufu JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Hilo swali nimemuuliza journalist mmoja nguli mpaka sasa hajanipa jibu lolote. Mi nakumbuka ilipopandishwa Mwanza sikusikia kama kulikuwa na hafla yoyote, na hata baadae Tanga na Mbeya sasa sijui Arusha ina nini la maana mpaka ufanyike uzinduzi?
   
 9. e

  emalau JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  ARUSHA don't deserve to be city, migomba mpaka mjini
   
 10. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  harakati za chadema arusha zitaleta mengi.viva wana arusha kwa msimamo
   
 11. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  jiji la wakulima!
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  mkuu SHERRIF ARPAIO sijui wametumia vigezo gani kwa Arusha
  bado arusha miundombinu iko hovyo barabara za kuingia mji huu ni mbili tuu ukiifunga barabara ya Moshi Arusha na barabara ya Sokoine huu mji hutoki
  Mita mia mbili kutoka barabara ya Moshi Arusha katika ule ukanda wa halmashauri ya Jiji ni nyumba za udongo
  kati kati ya jiji lenyewe bado kuna nyumba za zamani zilizoezekwa kwa madebe na zinaendelea kuwepo katikati ya hapo atakapofanyia uzinduzi wenyewe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,434
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Si ilishawahi kua jiji hii? Mbona walivoivua ujiji hawakutangaza?

  Tetesi: Fungu lililotengwa kwa ajili ya afla ya kutangaza Arusha kua jiji ni Tsh........ Nakutania
   
 14. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135

  Mkeshaji Arusha ilipewa hadhi ya jiji lini na Mbeya ikapata lini? Usidanganye watu bwana. Arusha haikuitangulia Mbeya kupata hadhi ya jiji. Mbeya ilitanguliwa na Mwanza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kaka SHERRIF ARPAIO kwani huko wanatumia criteria gani? Unataka mji ufanane na London ndipo uitwe jiji? Kila nchi ina vigezo vyake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,197
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Thats the catch
   
 17. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hizi Kamikaze na attempts za kuchefua watu wa arusha wakidhani wataweza washawishi wawapende zitazaa kitu kibaya sana.Kikwete hajui watu wa arusha by nature ni watu wa vita.Wamasai, waarusha, wameru, na wa mikoa ya jirani si watu salama sana.

  CCM imeshapewa kisogo basi wakubalike yaishe waweke nguvu kwingine,kila move wafanyayo inaonekana wazi kujawa dhuluma na hivyo kuishia kuwa chukizo.
   
 18. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Migomba haitakaa iiishe ,itatoweka ila itarudi wenye pesa wakianza merger viwanja kibao uswahili na kupata eneo kubwa lenye garden watarudisha migomba tena. Minazi nayo ilikuwa haitakiwi mjini ila baadaye ilirudi ktk sehemu maridadi.Kahawa siku hizi zinaoteshwa ktk garden za nyumba nyingi sana Arusha.
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Kwa Arusha kutangazwa kuwa jiji na ona ni haraka tu! Mji wa Arusha una changamoto nyingi ambazo wange zishughulikia kabla ya kutangazwa kuwa jiji.
  Changa moto kama!
  1 barabara hili ni tatizo kubwa hata zilizopo ni nyembamba sana, kwakweli huu mji una hitaji barabara za kutosha ni haibu kusema Arusha ni jiji labda kwa mtu ambaye ajawai kuishi au kupita Arusha anaweza asishangae!
  Japo miundo mbinu si kigezo pekee lakini kwa hili kuna udhaifu sana!
  Kwakweli ni bora nguvu nyingi zingeelekezwa kwenye kuuboresha mji huo, sijajua hiyo haraka ni ya nini?

  Ukweli lazima usemwe Arusha bado huku ni kujifariji, lakini pamoja na vitega uchumi vingi vilivyoko hasa utalii nashangaa mji wa Arusha kuwa na miundo mbinu hafifu!
   
 20. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  that's problem for receiving AID from USA and Uropean coutry
   
Loading...