Kwanini Serikali isikanushe Rais wetu kutuhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na Kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi habari hizi?
 
Sio kila kitu ni chakujibu
Unajibu la muhimu tu
Inawezekana sio la muhimu ndio maana hawajajibu
 
Sio kweli wale majamaa ni wa tz ila walikaa Rwanda mda mrefu sana na hawako huko tu wapo karibia kila nchi ni mambo ya kiusalama zaidi kama una ona wandani wana weza rubunika una wachukua kwa kua hawajulikani inakua ngumu MTU kumuingilia
 
Ni miezi sasa kama 6 toka ikulu na Rais wetu wamekuwa wakituhumiwa kuwatumia makomando kutoka Rwanda kumlinda Rais na hii ilianza tu mara baada ya rais kufanya ziara Rwanda.

Na kagame kufanya ziara nchini na Magufuli kusema atawachukua wataalamu kutoka Rwanda kuja kufanya kazi nchini.

Je nikweli Tanzania Rais analindwa na makomando kutoka Rwanda na kama ni kweli je Tanzania haina makomando?

Je kama sio kweli kwanini Ikulu awakanushi Habari hizi?
Nchi imeuzwa siku nyingi
 
Back
Top Bottom