Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,051
Kama ntakua sahihi Kwa takilibani miaka miwili au nitatu iliyopita CCM ilibadilisha baadhi ya kanunu za uchaguzi ndani ya chama lengo likiwa ni kumuepusha JPM na upinzani wa akina Benard Membe,Kuwa ni malufuku kuchukua fomu ya kugomba kuteuliwa na chama ili hatimae kugombea urais wa jamhuri ikiwa tu kama Rais aliepo hajamaliza miaka kumi ya uongozi .
Sasa swali langu lipo kama ufuatavyo,kwa kuwa Rais aliepo madarakani kikatiba analuhusiwa kugombea mwaka 2025 Yani muhula mmoja na vilevile kanuni za chama zinakataza asipingwe je hizi kanuni zitaheshimiwa? Na kama ni hivo he tutegemee Mama Samia Suluhu kuipepelusha bendera ya CCM kama mgombea wake 2025.
Asanteni.