Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunakumbushana tu kwamba dunia hii ni pahala pa shetani. Yesu Kristo alisema dunia hii ni giza. Siasa ni kazi za shetani na huo ndio ukweli mchungu. Mungu wa mbinguni awafungue macho muweze...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
"...inashangaza sana,mfano tuna group letu la Viongozi ajabu mmoja wetu bila aibu amethubutu kabisa kusema yeye ni mmoja wa wahuni waliobakizwa na awamu ya 5." "...INASIKITISHA sana!" "...hata...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa...
5 Reactions
76 Replies
6K Views
Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari...
8 Reactions
65 Replies
6K Views
Najua Chadema hawajahudhuria ule mkutano wa Jaji Mutungi lakini hoja zao ziliwasilishwa na KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe. Katika orodha ya wajumbe walioteuliwa na Jaji Mutungi kuangalia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa nini baada ya ujio wa huyo mwamba wa fitina za Ulimwengu Tanzania yale yote hasa yahusuyo haki za binadamu hayapigiwi kelele tena kwa uzito ule uliotumika wakati wa Utawala wa JPM?! Tony...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Akihojiwa na mwandishi wa Tanzania Daima, mh. Zitto amesema PAC IMEPENDEKEZA 1. Kuanza mchakato wa kumvua UJAJI MH. WEREMA 2. Kumfikisha mahakamani 3. Wote waliohusika kuwajibishwa kulipa na...
9 Reactions
179 Replies
32K Views
Kheri ya Christmas waungwana. Ni takribani miezi sita sasa tangu tuanze kulipa tozo za uzarendo. Kama sijakosea tuliambiwa kwamba hii pesa inaenda kutengeneza barabara za vijijini. Sasa naona...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mataifa mengi Duniani, watu walipigana, watu walipoteza uhai na mali, walipoteza wapendwa wao, siyo kwa sababu ya kutaka kupata shule, barabara, hospitali, majumba, magari, umeme, maji n.k; bali...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Nipo Afrika Kusini Kwa mapumziko ya uzee ila pia kuangalia Dunia inavyoendeshwa Katika maeneo mbalimbali ya Dunia. Hapa Afrika Kusini limetoka tamko la kuzuia kuuzwa Kwa funguo za chmba...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Alipata kusema, “If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse, and you say that you are neutral, the...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Najaribu Kuangalia kiundani, ni sababu gani kubwa ya Lowasa na wenzie kuzalilishwa na chama chao, huku mwenyekiti wake ambaye pia ni swahiba wake mkubwa akiwa kimya?, nasema kuzalilishwa na chama...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
KUNDI linalomuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, katika harakati zake za kuingia Ikulu Oktoba, mwaka huu, linalojulikana kama ‘Friends of Lowassa', limeandaa tukio kubwa la...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni. Nimemkamia sana...
21 Reactions
182 Replies
23K Views
Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu...
46 Reactions
117 Replies
7K Views
Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana. Where is Jaji Warioba in this Task Force at least. Chadema waliona mbali...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
ACT WAZALENDO, PUMZI 'lulu' YA WATANZANIA. Na: Suphian Juma Mimi naitwa Alliance For Change and Transparency, wengi wenu mnaniita kwa kiufupi ACT WAZALENDO. Nilizaliwa Tanzania mnamo tarehe Mosi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…