Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mitandaoni hususan Twitter, kuna kelele nyingi zinazoitwa 'madai ya Katiba Mpya' Ukitazama vizuri utagundua kwamba huo ni mradi wa watu. Yes, kuna mahali wanapata fedha kupiga hizi kelele...
-1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kwa kumuombea " Wepesi" mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kuhusiana na kesi ya ugaidi inayomkabili ni dhahiri Freeman Mbowe siyo Gaidi kwa sababu ACT...
2 Reactions
2 Replies
941 Views
Soo jana, Rais Samia Suluhu alisema kwamba zamani muafaka katika siasa ulikuwa unafikiwa kwa kutumia ncha ya upanga lakni hivi sasa muafaka unatumiwa kwa ncha ya ULIMI. Alichokuwa anamaanisha ni...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mzee Warioba na Butiku wanaweza wakashindwa kutumia heshima waliuyopewa na Mwenyenzi Mungu kuwajaalia afya njema lakini pia na Taifa Kwa hekima na busara zao. Wazee Hawa wamekuwa wakitumika mara...
2 Reactions
4 Replies
809 Views
Upinzani ni kioo cha jamii maana hukosoa na kuwaambia watawala makosa wanayofanya. Upinzani kufanya mikutano ya kisiasa na kueleza sera na mikakati ya kukamata dola sio sababu ya kuzuia wananchi...
2 Reactions
0 Replies
619 Views
Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
ITV kibwagizo chenu cha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika mmekua mkituonesha Magufuli kuwa ndiye Rais! Niwakumbushe Rais ni Samia Suluhu Hassan hivyo wekeni sehemu ya hotuba zake na si za Magufuli.
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala? Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
25 Reactions
68 Replies
5K Views
Jana anawaambia watu wazima kwenye kikao namna ya kufanya siasa jinsi anavyotaka yeye na siyo sheria zinavyotaka,,Anasingizia uongo eti wapinzani wakifanya mikutano ya hadhara wanaharibu mali za...
0 Reactions
3 Replies
844 Views
Ukweli ni kwamba kwa jinsi Hali ya kisiasa na kikatiba ilivyo,nchi hii Rais anaweza fanya lolote na asitokee mtu wa kufanya fyokofyoko,ndo maana JPM alipora Uchaguzi,Ndo maana Jecha alifuta...
1 Reactions
2 Replies
546 Views
15 December 2021 Dodoma, Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akemea fujo na vurugu za vyama vya kisiasa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumatano...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa: Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua: Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi. Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Toka enzi za Yusufu ukombozi ulifanyika kwa maumivu. Yusuf Alichukiwa na ndgze wakamtupa shimoni kisha wakamuuza. Mke wa bosi wake akamlazimisha amlale,alipokataa akamzushia kesi ya kubaka,Yusuf...
2 Reactions
1 Replies
507 Views
Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza...
2 Reactions
2 Replies
619 Views
Haiwezekani mkutano mkubwa kama huu uliohusisha wadau mbalimbali uwe na ajenda moja tu ya Freeman Mbowe Anayejua yaliyojiri au yatokanayo atujuze Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Waziri wa Uwekezaji Mh Mwambe amesema kinachojengwa Bagamoyo siyo Bandari tu bali unajengwa mji wa kisasa utakaoungana na Dar es salaam ambao utakuwa na miradi mingi ikiwemo Viwanda Mahotel...
9 Reactions
142 Replies
10K Views
Tunamba basi MBOWE na SAMIA wasameheane, hakuna haja ya kupoteza mda na laslimali FEDHA kwa visa visivyo na TIJA na kuumizana pasipo sababu, na wakisameheana wakutanishwe hata ktk SIRI mbele ya...
1 Reactions
13 Replies
748 Views
Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
12 Reactions
61 Replies
5K Views
Ilikuwa jambo rahisi sana kumkamta mh Mbowe kwakuwa jeshi la polisi ni mali ya ccm bila shaka. Ikawa rahisi pia kuchagua kesi ya kuanzisha ambayo ni ya ugaidi na uhujumu uchumi. Tatizo...
4 Reactions
3 Replies
800 Views
Back
Top Bottom