Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa:
1. Chadema hawa hapa:
2. NCCR nao hawa hapa:
Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu?
ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
Ilikuwa jambo rahisi sana kumkamta mh Mbowe kwakuwa jeshi la polisi ni mali ya ccm bila shaka. Ikawa rahisi pia kuchagua kesi ya kuanzisha ambayo ni ya ugaidi na uhujumu uchumi. Tatizo...
Ili kuepuka mitandao na makundi maslahi ndani ya CCM kuvuruga ustawi wa chama na ili kutorudia makosa ya 2015 yaliyokipasua chama, ninashauri CCM imuue nyani bila kumuangalia usoni, ninamaanisha...
Naomba nieleweke hii sasa inachosha sana leo tulikuwa ofisini posta umeme umekatika sana aese! Tunaomba maintanance inapofanyika ufanyike pia utaratibu wa kutangaza maeneo yatakayoathiriwa...
By Baba Mwita kupitia twitter:
Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo...
Wakati wa jaribio la mauwaji ya lisu, ulisafiri mpaka hospital kule kenya kwenda kumpa pole Tindu lisu
Ulipofika huko hospital nairobi ulimkumbusha lisu kwamba ili mambo hayo yasiendelee kutokea...
Rais amesema (kama ni kweli) kuwa wapinzani wakifanya mikutano huvunja magari ya watu kwa mawe! Rais akisema basi ndivyo ilivyo, jambo la kujiuliza ni magari yote ni ya wanaccm tu au wanavunja na...
Naona kuna sarakasi zinataka kufanyika ili kuhalalisha kikao cha vinavyoitwa Vyama vya siasa vya upinzani , Msajili Mutungi na Rais Samia , kikao ambacho Chadema wamekataa kushiriki kwa SABABU...
"Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa...
Jana, chifu Hangaya katoa ya moyoni baada ya Mwami ZZK , kusimama kwa unyenyekevu na kuomba amsamehe m/kit CHADEMA , ndg. FAM.
Katika majibu yake. Chifu Hangaya alitupa picha kuwa , FAM amefika...
Mapammbano dhidi ya COVID 19 yamekua magumu kueleweka kwa wananchi, kwasababu hatukuwekeza zaidi katika afya msingi, kuanzia kwenye jamii zetu.
Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na...
Huu ndo unyonge wa mwafrika. Badala ya mambo muhimu ya elimu, Wairi Ummy anajigamba kununua magari ya maafisa elimu. hizo ni pesa za wa-TZ zinatumika kununulia magari ya anasa Japan. Mashuleni...
Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali.
Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu...
Aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo huku akijinasibu kuwa anataingia na kufunga goli dakika ya 90 bwana...
Hii energy wanayoitumia kumchukia Zitto wangekua wanaitumia kujenga Chama na ushawishi wangekua mbali. Toka 2014 mlishasema jamaa ni msaliti, Okay we've understood you well, move on sasa.
Kama...
Toka nimemfahamu huyu mwanasiasa,mwanzoni nilimwamini kwa kiwango kikubwa,na wakati amefukuzwa chadema,nilifanya juhudi ya kutaka kuonana naye ili tufanye muafaka na viongozi wenzake wa cdm.
Muda...
Wana JF
Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado...
Baada ya maelezo ya Mhe. Rais jana akijibu ombi la ZZK kuhusu kushughulikia Kisheria Mhe. MBOWE kesi yake ifutwe nimeona nitoe maoni yafuatayo.
Kwanza natambua uungwana mkubwa alio nao Mhe. RAIS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.