Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kudhalilishwa kwa makomando kama kunavojiri mahakamani kwenye hii kesi katika ushahidi wake !kunanipa maswali mengi kichwani kama haya:- 1. Komando ni nani hasa? 2. Makomando wangapi wapo mtaani...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Mwaka 1994 Bakili Muluzi aliyekuja kuwa Rais wa Malawi aliwapa ahadi ya kila mwananchi kupewa pea ya viatu endapo watamchagua kuwa Rais wao.Baada ya kuchaguliwa akawaambia wananchi wake hakuna...
8 Reactions
30 Replies
5K Views
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli. "...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
29 Reactions
100 Replies
12K Views
Nimemsikiliza kwa makini Sana, Rais Samia Suluhu Hassan, Katika hotuba yake kwa Baraza la vyama, akijibu hoja aliyopewa na Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, aliyeomba Mwenyekiti wa...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Nchi zenye ugaidi zinakuwa Blacklisted, Kuna Mataifa yako makini sana kutofanya biashara na nchi zenye Magaidi au maeneo yenye ugaidi Aliyeshauri kutumia neno Mbowe ana mashtaka ya Ugaidi, Mbowe...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Kikwetu tuna msemo tunasema: What goes around comes around. Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara. JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha. Lakini sasa...
17 Reactions
124 Replies
10K Views
Hata ipite miaka 1000 bado tutatafuta ukweli, Raisi Magufuli (RIP) ni kama J.F. Kennedy wa USA. Kugombania kwenu power kutawafanya mchukiane na kuchukiana mmeanza, 2025 patachimbika na hii ni...
0 Reactions
3 Replies
639 Views
Pamoja na kwamba ameshakabidhi ofisi ya Itikadi na Uenezi, lakini bado ndugu Humphrey Polepole ameonekana akifanya siasa za wazi wazi kwa kivuli cha ofisi hiyo yake ya zamani. Hapa juzi kupitia...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
1.Wabobezi Wa sheria naomba mtupe tafsiri kati ya kusamehewa mashtaka na kufutiwa mashtaka.... 2.Kati ya kusahewa mashtaka na kufutiwa mashtaka ni njia ipi inamsafisha mtuhumiwa mbele ya macho...
1 Reactions
3 Replies
760 Views
Leo nimetumia tena muda mrefu katika clubhouse ya Bavicha na mada mbili zilikuwa mezani,kesi ya Mbowe na mkutano wa Dodoma. Mengi yamejadiliwa lakini niweke haya ambayo naamini ni funzo kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa njiani najisomea na kusikiliza habari tofautitofauti za kijamii, kisiasa, kiuchumi toka mataifa tofauti; nimejikuta nikimshukuru Mungu kuwa mtanzania. Hakika Tanzania yetu ndio nchi ya...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi karibuni, hata bila ya kutumia ufahamu mkubwa, kuna mambo yaliyo dhahiri: 1) Polepole haamini kama Mama Samia ni mtu sahihi kwa nafasi yake kama Rais. Ukosoaji wake mkubwa ameuelekeza kwa...
29 Reactions
27 Replies
2K Views
Marehemu Horace Kolimba: CCM imepoteza dira. Nape: Chama kina wenyewe Tukumbuke hawa wamekuwa viongozi wakubwa tu ndani ya CCM hivyo kauli zao sio za kuchulia mzaha. Japo Kolimba aliongea...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
John Gideon Okello alizaliwa 1937, katika Wilaya ya Lango nchini, Uganda na alifariki mwaka 1971 kijijini kwao Lango Uganda alikokwenda kutupwa na Julius Nyerere na Karume Kifo chake kimeacha...
11 Reactions
104 Replies
39K Views
Bila shaka hiki ndio kitachofuata wakati wowote kuanzia sasa ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kuifuta hiyo kesi huku Mbowe akiwa ameshapotezewa muda wake mwingi tu na pia serikali...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima. Katibu mkuu Mnyika itisha press leo...
6 Reactions
69 Replies
6K Views
Kauli ya Zitto Kwa Rais juu ya kumsamehe mwenzao ambae hakuwepo mkutanoni Kwa changamoto za kisheria,ni kauli ya kiutu inayolenga pia kujenga mshikamano wa Amani Kwa sasa na siku zijazo. Lakini...
0 Reactions
15 Replies
822 Views
Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu, ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Hakika sasa ndio nimeamini Maneno ya HAYATI Baba Wa TAIFA Mwl.Nyerere kuwa KATIBA ya TANZANIA ni Mbovu na Ikimkuta RAIS DIKTETA Ataumiza Wananchi kwani Inampa NGUVU na MAMLAKA ya KUFANYA ATAKACHO...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Back
Top Bottom