Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ni ipi sababu ya hawa jamaa kuonekana hivyo wakati kielimu wengi wako chini kuliko wenzao wa chama cha mapinduzi
0 Reactions
5 Replies
563 Views
Nchi ya Tanzania inaongozwa na sheria na kwa mujibu wa katiba hakuna aliye juu ya sheria.(hii kauli ni ya kishwaini kwani kama ndo hivyo kwa nn wengine wana kinga wengine hatuna?). Msingi wa...
2 Reactions
3 Replies
601 Views
Kutesa kwa zamu, kiongozi unaposimama mbele ya halaiki unamshupalia mtu hadharani kuwa ni mhusika wa vitendo hivyo kisa una dola kwa kupindi hicho nadhani huwa ni hatari zaidi. Waafrika ni wazuri...
1 Reactions
10 Replies
695 Views
SAKATA LA SHEIKH PONDA: MASIKINI "MASHEIKH RASMI" HAWAJUI KUWA HAWANA WAISLAM WANAOWAONGOZA, WAKO PEKE YAO Awali ya yote mimi sitajiingiza katika propaganda za uchaguzi bali nitajaribu kueleza...
47 Reactions
195 Replies
16K Views
Mbowe ni binadamu kama walivyo wengine lakini in public sijawahi kuona akivunja sheria wala kujihusisha na uhalifu wowote. Kusema mtu huyu anavunja Sheria na hana heshima si sawa kabisa na...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu. Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema. Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu...
0 Reactions
9 Replies
876 Views
Wazanzibar Wana msimamo, Maalim alitambua msimamo wa Wazanzibar akasimama nao. Wakaua Cuf lakini Maalim alibaki kuwa Imara. Amendoka Maalim amewaacha Wazanzibar wakiwa na chama kisicho na msimamo...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bado ninatafakari kwa kina sanaaa OMBI la zitto kabwe kwa Mh Raisi, HIV Zitto kabwe ameisha jua yakuwa Mbowe atafungwa au atashinda au atashinda? Je Mbowe anaombewa msamaha kwa kosa gani? Hiki ni...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Nimetafakari mara nyingi nimekoswa jibu! Kitu kinachonisikitisha ni kwanini serikali inatumia nguvu nyingi sana kuzuia wapinzani wasifanye mikutano yao ya kikatiba??Kama Rais mwenyewe anapokwenda...
8 Reactions
100 Replies
8K Views
Manake mpaka sasa hola! Mlishatuzoesha basi semeni angalau mmekwama lakni sio kuacha tu bila hata kututaarifu!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumbe hii Kesi ni ya kitaifa na kimataifa, ukiuliza watu kipi kilichoongelewa kwenye huu mkutano, utaambiwa Ni Mbowe Lakini ukiangalia ajenda za mkutano ajenda ya Mbowe haikuwepo, kulikoni mbona...
6 Reactions
3 Replies
608 Views
watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sijailewa ni vigezo gani vya msingi hutumika kuteuwa hawa wabunge wa viti maalumu lakini kwa sifa ya " Vituko" karibia wote huwa wanafanana. Angalia malumbano ya Polepole na Bulembo ni kama vile...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Kupitia kwa Katibu mkuu John Mnyika, Chadema wamedhibitsha kuwa hawatashiriki mkutano ulioandaliwa na msajiri wa vyama vya siasa. Mnyika ametoa sababu kuwa mkutano huo una ajenda tatu, Mgeni...
48 Reactions
147 Replies
9K Views
Sheria za vyama vya siasa vinahusu vyama vyote lakini ccm ipo juu ya katiba na sheria za nchi Katibu wa ccm na wana ccm wanaruhusiwa kuandamana na kuranda randa kila kona Watu wa vyama mbadala...
1 Reactions
1 Replies
444 Views
"Jaji tutaendelea nae japo hatumwamini, hatumkubali na tunajua amefanya maamuzi yasiyokuwa ya haki. Tunawaomba wananchi muendelee kuja kwa wingi kufuatilia kesi hii ili kuendelea kuwaona Mashahidi...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu...
1 Reactions
5 Replies
905 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa...
17 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom