Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakika sasa ndio nimeamini Maneno ya HAYATI Baba Wa TAIFA Mwl.Nyerere kuwa KATIBA ya TANZANIA ni Mbovu na Ikimkuta RAIS DIKTETA Ataumiza Wananchi kwani Inampa NGUVU na MAMLAKA ya KUFANYA ATAKACHO...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/terehe-14-disemba-2021-dpp-atawasilisha-nolle-kesi-ya-akina-mbowe.1936131/
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeangalia mahudhurio ya mkutano wa leo wa vyama vya siasa kiukweli ni kama ulikuwa ni mkutano wa CCM na ACT wazalendo wale wazee wengine ni sawa na waganga wa Kwamsisi Handeni. Augustino...
2 Reactions
7 Replies
866 Views
Nchi ya Tanzania, Iko katika mtanzuko wa matumizi ya mifumo katika ukusanyaji wa Kodi kwa njia ya mifumo. Nina sema Iko katika mtanzuko, kwa maana moja mifumo inayotumika katika ulipaji wa mapato...
0 Reactions
1 Replies
604 Views
TUMEYASHINDA MABEPARI,TUMEYASHINDA MABEBERU,TUMEWASHINDA VIBARAKA WAO TINDU LISSU,ZITTO KABWE NA ROBERT AMSTADERM. Leo 09:30hrs 01/11/2020 Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi wa asilimia 84.5%...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Leo jijini Dodoma,kunaendelea kufanyika mkutano was wadau was siasa utakaomalizika Disemba 17 mwaka huu. Katika mkutano huo viongozi was vyama vilivyoshiriki wamepata kuongea mbele ya Rais...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Hakika Mzee Yusuph Makamba Bado ni hazina ya Taifa la Tanzania, Mzee ana historia nzuri ya wazee wenzake, ni Mzee ambae hakika utagundua ya kuwa viongozi wetu waliopo madarakani Huwa hawawatumii...
13 Reactions
74 Replies
7K Views
Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
CHADEMA ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,Chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa...
7 Reactions
54 Replies
45K Views
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia. Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa...
20 Reactions
373 Replies
28K Views
KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAPONGEZA UJENZI WA MADARASA YA UVIKO 19, YAMASHUKURU RAIS SAMIA SULUHU KWA KUIKUMBUKA MOSHI Kamati ya Fedha na Uongozi ya halmashauri ya Manispaa ya Moshi ikiongozwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania. Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu...
22 Reactions
124 Replies
7K Views
kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Kutokana na uchu na tamaa ya madaraka mzee wangu Abdalah Bulembo na wengine wanakuita alhaji ulitoa kauli ambayo iliishtua dunia na pengine dunia kuamini Tanzania ni nchi ambayo serikali inaua...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa...
28 Reactions
69 Replies
6K Views
Sote tunakumbuka ya kwamba Polepole akiwa katibu mwenezi wa CCM Taifa, alisimamia mchakato wa kumfukuza uanachama Membe kwa kosa la "kutamka" kwamba atachukuwa fomu ya kugombea Urais ili apambane...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwinyi 35% ( Alifeli ) Mkapa 75% ( Alifaulu ) Kikwete 5% ( Alifeli vibaya ) Magufuli 50% ( Alifaulu ) Samia nitampima rasmi ifikapo 2025 ANGALIZO Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna...
23 Reactions
251 Replies
16K Views
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodaiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa. Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo...
25 Reactions
61 Replies
4K Views
Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo. Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo...
28 Reactions
63 Replies
7K Views
Katiba ya nchi yoyote duniani ndio husimamia ustawi wa watu wa nchi hiyo na maisha yao kwa ujumla. Katiba ni kitu cha kuheshimika sana Hapa Tanzania kuna mzee mmoja kutoka Bukoba aliwahi...
0 Reactions
7 Replies
586 Views
Back
Top Bottom